chief kamchicha
Member
- Jan 22, 2014
- 33
- 83
Chama Cha walimu Tanzania, kwasasa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi walimu kujaza form ya TUF 15 ambayo ukiisoma inataka mwanachama aijaze ili kuridhia makato yanayokatwa na mwajiri kwenda CWT.
Swali ninalojiuliza kama makato yao yamekuwepo miaka yote Tena wakati mwingine bila ridhaa ya mwalimu kwanini Sasa wanatumia nguvu kubwa kutaka kila mwalimu ajaze form iyo?
Pia naona kuna agizo lililotolewa na chama cha walimu nyamagana kutaka walimu wakusanye salary slip zao, bila kueleza sababu ya kwanini wanazihitaji.