Kwanini dalili hii ya kubalehe haifundishwi hata shuleni?

ephen_

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2022
Posts
14,949
Reaction score
54,485
Habari wanaJf!

Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili watoto wasijishangae wanapopata mabadiliko, waweze kukabiliana nayo. Mbona dalili moja hawaizungumziii? Awatoi elimu jinsi ya kukabiliana nayo?

KUPATA SANA HAMU YA TENDO LA NDOA!
Kipindi cha balehe hamu ni kubwa sana na ndo watoto wakiume na wake wanapofanya mambo mabaya madhara yake mimba, magonjwa, ushoga.

Zama hizi si za kuficha mambo kwa kigezo cha mila potofu na Aibu.

WATOTO WAPEWE ELIMU!
 
Mbona inafundishwa kuanzia msingi katika somo la sayansi? Tena ukifundisha mambo hayo wanaofurahia ni wanafunzi wa kiume, wa kike hujisikia vibaya sana wanaona kuwa wanadhalilishwa.

Ukute we ni mwalimu wa kiume kijana unafundisha, wanafunzi wa kike wakipatwa mihemko kutokana na makuzi hayo utaisoma namba.

Kama huna maadili ya ualimu utalabua wanafunzi wanaokuhemkia usijue kuwa wako kwenye kipindi cha mpito katika makuzi yao.

Wanakuwa na hisia kali za kutaka mapenzi hata na mwalimu wao kijana wanamuona ni saizi yao. Ukijua hayo hawakupi shida unawakwepa tu japo watakudharau kuwa hutaki kuwashughulikia
 
Habari wanaJf!

Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili watoto wasijishangae wanapopata mabadiliko, waweze kukabiliana nayo. Mbona dalili moja hawaizungumziii? Awatoi elimu jinsi ya kukabiliana nayo?

KUPATA SANA HAMU YA TENDO LA NDOA!
Kipindi cha balehe hamu ni kubwa sana na ndo watoto wakiume na wake wanapofanya mambo mabaya madhara yake mimba, magonjwa, ushoga.

Zama hizi si za kuficha mambo kwa kigezo cha mila potofu na Aibu.

WATOTO WAPEWE ELIMU!
Wewe ni mjinga.
Ina maana kule O-level hujawahi jifunza reproduction?
Au ulikuwa unadoji shule?
Au kulikuwa hakuna waalimu?
 
Mbona inafundishwa kuanzia msingi katika somo la sayansi? Tena ukifundisha mambo hayo wanaofurahia ni wanafunzi wa kiume, wa kike hujisikia vibaya sana wanaona kuwa wanadhalishwa.

Ukute we ni mwalimu wa kiume kijana unafundisha, wanafunzi wa kike wakipatwa mihemko kutokana na makuzi hayo utaisoma namba.

Kama huna maadili ya ualimu utalabua wanafunzi wanaokuhemkia usijue kuwa wako kwenye kipindi cha mpito katika makuzi yao.

Wanakuwa na hisia kali za kutaka mapenzi hata na mwalimu wao kijana wanamuona ni saizi yao. Ukijua hayo hawakupi shida unawakwepa tu japo watakudharau kuwa hutaki kuwashughulikia
Ila itasaidia kumuepusha na miaka 30 ya jela. Kule utakutana na jamaa ambao wameshapita kipondi cha balehe ila wana akshi za ajabu so utageuzwa kuwa mke wa watu wengi. Ni vyema tujifunze kujicontrol na kuicontrol miili yetu. .
 
Habari wanaJf!

Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili watoto wasijishangae wanapopata mabadiliko, waweze kukabiliana nayo. Mbona dalili moja hawaizungumziii? Awatoi elimu jinsi ya kukabiliana nayo?

KUPATA SANA HAMU YA TENDO LA NDOA!
Kipindi cha balehe hamu ni kubwa sana na ndo watoto wakiume na wake wanapofanya mambo mabaya madhara yake mimba, magonjwa, ushoga.

Zama hizi si za kuficha mambo kwa kigezo cha mila potofu na Aibu.

WATOTO WAPEWE ELIMU!
Kabisa
 
Kwa hio Wewe kipindi una balehe eeh kilikua kitumbua kinawaka Mafuta kinameremeta Muda wote kinataka kuchemka eeh?
 
Kizazi cha nyuma kdg hakikupewa hizi elimu za kipumbavu ambazo kila unapofungulia redio unaskia mambo ya sijui hedhi, mara taulo za like, na upuuzi mwingine kama huo..but still kilikuwa ni kizazi bora kbs kwa namna ya wake wenye utulivi ndoani mwao na wababa wanaotunza familia zao kwa upendo na kujituma..tofauti na hawa waliotuchosha na elimu huku single mothers na watoto wa mitaani wakiongezeka
 
Dunian imebadilika sio ka yakipind kile ss watu unadhan wataishi kama zaman
 
Back
Top Bottom