Kwanini dalili hii ya kubalehe haifundishwi hata shuleni?

Habari wanaJf!

Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili watoto wasijishangae wanapopata mabadiliko, waweze kukabiliana nayo. Mbona dalili moja hawaizungumziii? Awatoi elimu jinsi ya kukabiliana nayo?

KUPATA SANA HAMU YA TENDO LA NDOA!
Kipindi cha balehe hamu ni kubwa sana na ndo watoto wakiume na wake wanapofanya mambo mabaya madhara yake mimba, magonjwa, ushoga.

Zama hizi si za kuficha mambo kwa kigezo cha mila potofu na Aibu.

WATOTO WAPEWE ELIMU!
Hayo mambo kikwetu ni mwiko kufundishwa nje ya nyumbani.

Mimi siafiki yafundishwe shuleni mpaka labda kuanzia form III.

. Tuendeleze mila zetu za kuwafunda wanetu majumbani.
 
Habari wanaJf!

Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili watoto wasijishangae wanapopata mabadiliko, waweze kukabiliana nayo. Mbona dalili moja hawaizungumziii? Awatoi elimu jinsi ya kukabiliana nayo?

KUPATA SANA HAMU YA TENDO LA NDOA!
Kipindi cha balehe hamu ni kubwa sana na ndo watoto wakiume na wake wanapofanya mambo mabaya madhara yake mimba, magonjwa, ushoga.

Zama hizi si za kuficha mambo kwa kigezo cha mila potofu na Aibu.

WATOTO WAPEWE ELIMU!
shule uliyosoma ndo hawafundishi
madrasa hawafundishi haya
 
Back
Top Bottom