kwanini Dawa za asili/herbal medicinezina gharama kubwa kuliko dawa za hospital, je hakuna regulator?

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Kumekuwa na matangazo mengi ya dawa za asili mitandaoni lakini kamwe hutosikia dawa ya malaria na magonjwa yaliyozoeleka utasikia nguvu za kiume na mambo ya uzazi wa kike.

Mambo ya uzazi imekuwa ni fursa sana kwa Sasa.

Hii hapa chini inaweza kuwa sababu ya dawa hizo kuwa ghali.

Katika jamii yetu usipofanikiwa kuzaa utaonekana wa ajabu kuliko vitu vya ajabu.

Kibaya zaidi ni kwamba dawa hizi ni ghali sana kuliko dawa za Hospital/viwandani.

Yaani inakuwaje Dawa ya elfu 60 dozi ya mwanamke hospitali wao WAUZE laki 250k eboh!

NB. Simpangii mtu biashara ila iwepo standard

Embu tujadil.

NB. SIJALEWA WALA SINA BAYA , MODI WEKA MBALI ILE TABIA YENU
 
organic products are always expensive and safe😎
 
Kama walivyokujibu baadhi ya wadau hapo juu, pia bidhaa yoyote ambayo ni 'man made' huwa ghali kutokana na gharama katika mfumo wake wa uzalishaji.
 
Back
Top Bottom