Wakuu naomba kuuliza, anachokisema huyu mama kwamba hata kama bikra ya mwanamke ilitolewa muda mrefu? Anasema hata kama mwanamke amezaa watoto sita bikra yake inaweza kurudi bado.
Hii ni kweli au anatupoteza huyu?
Katika utafiti uliofanyika ndani ya viunga vya Mwanza ambao ulihusisha kuzifanyia uchunguzi dawa za asili za Nguvu za kiume zinazouzwa na watu binafsi, makampuni au watu wa mitishamba na jadi. Dawa hizi za asili zilikutwa na mchanganyiko wa Sildenafil na Tadalafil, Dawa ambazo ni za hospitalini...
Mitandaoni kuna madai ya baadhi ya wauzaji wa dawa za asili kwamba bidhaa zao zinaweza kuti
bu na kuponya kisukari kabisa, hata ndani ya muda mfupi. Kwa mfano, baadhi ya matangazo yanadai kuwa dawa fulani ya asili inaweza kumaliza kisukari ndani ya siku 90. Je, madai haya yana ushahidi wa...
Kumekuwa na matangazo mengi ya dawa za asili mitandaoni lakini kamwe hutosikia dawa ya malaria na magonjwa yaliyozoeleka utasikia nguvu za kiume na mambo ya uzazi wa kike.
Mambo ya uzazi imekuwa ni fursa sana kwa Sasa.
Hii hapa chini inaweza kuwa sababu ya dawa hizo kuwa ghali.
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.