Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
unamaanisha Demokrasia inaliliwa na chadema siyo Demokrasia mkuuDemokrasia inakubalika kwa miktadha ifuatayo:
chaguzi huru, uhuru wa maisha ya mtu binafsi baasi hiyo imetosha.
mkishamaliza kuchaguana na haki ikatolewa.
washindwa wawe waungwana na kuacha w
ashindi watawale maana hao ndiyo wameshinda zabuni ya kuongoza nchi.
kuendelea na siasa za majukwaani ni kuwaletea vurugu.
na hiyo siyo demokrasia, bali ni fujo.
Kuhusu utashi wa watu kuhusu namna ipi nchi iendeshwe wapo wawakilishi wao kwny vikao vya maamuzi.
representative democracy hapo imetumika.
Wako mbali sana ukilinganisha na nani?Sasa, hao jamaa mbona kimaendeleo wako mbali sana kinyume kabisa na wengi wanavyoamini kwamba, Demokrasia ndiyo huleta maendeleo?
Nchi zipi Africa ni za kidemokrasia?Demokrasia ndo mdudu anaetutafuna kwenye nchi masikini za kiafrika vijana hawafanyi kazi wanaacha maeneo, mabonde ya kulima mpunga wanakimbilia mijini (machinga) wanachochangia kwenye Pato la Nchi ni kidogo Sana .viongozi ni wezi wanalindana.
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,
Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia
Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?
Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?
Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.
Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.
Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.
Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?
Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.
Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake
Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Nitajie nchi 3 zenye maendeleo makubwa duniani lakini hazifuati demokrasia nami nitakutajia nchi 25 zinazofuata demokrasia na zina maendeleo makubwa kuliko hizo nchi zako 3!!!Bila shaka majibu yatapatikana hapa,
Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia
Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?
Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?
Demokrasia kuna wakati nchi inaweza kujikwaa?Nitajie nchi 3 zenye maendeleo makubwa duniani lakini hazifuati demokrasia nami nitakutajia nchi 25 zinazofuata demokrasia na zina maendeleo makubwa kuliko hizo nchi zako 3!!!
Halafu tusiende mbali...
Tuzungumzie nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara...
Nitajie nchi 10 zenye "maendeleo" makubwa ukanda huu halafu tuangalie ni zipi miongoni mwa hizo angalau angalau zinafuata demokrasia, na zipi zinakiuka misingi ya kidemokrasia!
KARIBU!!
Na utajiri wote wa AfricaWako mbali sana ukilinganisha na nani?
Jamaa analeta stori za kwenye Kahawa.Umeshaishi China au Kufika China? unaweza kutupa mfano wa wachina 2, walihujumu uchumi,wala rushwa,wauza ngada,wandamanishaji nk, ambao walihukumiwa nje ya mahakama
Msoga tena, nasikia hapo kuna mhalifuZipo za walevi, wazinzi na wagomvi, ila siyo wezi, wahujumu uchumi, wala rushwa, wauza ngada, wavunja sheria, wandamanishaji n. k, ukibisha waulize msoga watakupa utamu wa China
ππππ eebanaeee!! wapeleke mtu wao bhana!!Msoga tena, nasikia hapo kuna mhalifu
anatakiwa china.
Korea ipi?! Kama ni North Korea, nani alikudanganya kuwa na uwezo wa kutengeneza makombora, na kuivimbia US ndo maendeleo?!Demokrasia kuna wakati nchi inaweza kujikwaa?
Marekani chini chini ya Trampolining
China, Irani, Urusi, korea, n.k hizi zote zinaishi kwa ubabe na maendeleo ni makubwa
Boss Hataki, bora baga ijengwe anaye zuia kichwa Chake halali.ππππ eebanaeee!! wapeleke mtu wao bhana!!
Mbona asilimia 99 ya Africa ni udikteta kama China na hakuna maendeleo ?Na utajiri wote wa Africa
Ingekuwa ishagawanyika vipande vipande vya nchi nyingi..China ingekua na democrasia unajua ingekua wapi?
China upige dili?Shida ya hio mfumo wa china ya afrika, watawala ni mungu watu hata wapige dili vipi,wajenge vijijini kwao awashughulikiwi, uhamishwa tu alikuwa mbunge kesho anapewa uwaziri.
Ni rahisi kwa mtumishi wa kawaida kufukuzwa Kazi kwa sababu kapewa asante ya sh 2000 na Yale majizi makubwa sugu uhamishwa tu vitengo.
China hakuna aliyejuu ya Sheria
Ukipiga dili china wao wanapiga kichwa awacheki na mtafuna kodiChina upige dili?
Ndicho tunachotakiwa tufanye kwenye nchi zetu hizi za watu wezi suguUkipiga dili china wao wanapiga kichwa awacheki na mtafuna kodi
Basi huku kinachotumaliza na kutuingiza kwenye vita vya maneno na kutunishiana pia kuingia mogogoro ya kutwangana sisi kwa Sisi ni tafsri potofu ya demokrasia aiseeDemokrasia inakubalika kwa miktadha ifuatayo:
chaguzi huru, uhuru wa maisha ya mtu binafsi baasi hiyo imetosha.
mkishamaliza kuchaguana na haki ikatolewa.
washindwa wawe waungwana na kuacha w
ashindi watawale maana hao ndiyo wameshinda zabuni ya kuongoza nchi.
kuendelea na siasa za majukwaani ni kuwaletea vurugu.
na hiyo siyo demokrasia, bali ni fujo.
Kuhusu utashi wa watu kuhusu namna ipi nchi iendeshwe wapo wawakilishi wao kwny vikao vya maamuzi.
representative democracy hapo imetumika.