Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Bila shaka majibu yatapatikana hapa,

Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia

Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?

Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.

Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.

Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.

Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?

Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.

Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake

Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
kwanini kunywa gongo hakuleti maendeleo wengeuliza hilo swali kuliko kuuliza jambo usilolijuwa.
kijana hapa duniani hakuna gonjwa baya kama uCCM. kwa taarifa yako kuna vitu viwili ambavyo katika nchi vinaweza kuleta maendeleo
1. Jambo la kwanza ni kupata kiongozi mwenye kuipenda nchi yake na pia mwenye vision maono.
2. jambo la pili ni demokrasia ya kweli.
kwa hapa Tanzania hatuna hata moja katika ya hilo wala sio Tanzania tu ni Africa yote hakuna. na laana kubwa ya Tanzania ni hili dude linaloitwa CCM mimi nakuhakikishia kijana bila ya kuondoka CCM Tanzania maendeleo sahau hakuna litakalo kuwa mpaka kiyama kitasimama.
CCM ina miaka 60 ya utawala lakini hakuna la maana hata plan tu ya mji imeshindwa kuplan. halafu anakuja bwege mmoja n ngonjera za CCM.
 
Unarahisisha mno, na bila shaka wewe ulichodaka kati ya nyimbo nyingi za kijinga za vyama pinzani ni ondoka CCM kwa kuwa Chama hiko ni kirusi cha nchi yetu

Je upinzani kuna la ziada??
Kama lipo, ni lipi?

Acha kukaliri, Swali ni, Demokrasia ni kweli ndio mwarobaini wa maendeleo? kama ni kweli, kwa nini hiyo Demokrasia ilishindikana kuiletea china na hata urusi maendeleo?
 
Mila au jadi na utamaduni wa Mwafrica, Ulaya kwao wanaita Demokrasia na ndiyo maisha na utamaduni wao na wanauishi kama ambavyo leo kwa waafrica wengi walivyo na maisha ya kutambika, halafu badala ya kukomaa na utamaduni wetu, tumechukua utamaduni wa mzungu kuulazimisha eti yawe maisha yetu, na ndiyo maana tunauwana bule

Wananchi wakiwa katika kutimiza maana ya Demokrasia, mtawala yeye anaona ni upumbavu, na ndiyo ukweli

Kuandamana kwenda kuvunja magereza ni uhuni siyo Demokrasia
 
Usipotoshe: Uchumi wa Tanzania umeharibika kwa sababu ya Corona
Siyo kweli, uchumi wa Tanzania ulianza kuanguka mwaka 2016. Kufikia mwaka 2018, ukuajibwa uwekezaji ulianguka toka 28% (mwaka 2015) mpaka 4%. Ukiaji wa utalii ulianguka toka 15% (mwaka 2015) mpaka 3.6%.

Corona isisingiziwe.
 
Unamaanisha kuwa, Kumbe demokrasia pekee haiwezi kuleta maendeleo?
Suala siyo maendeleo tu kwa kuwa hata Wajerumani na Waingereza walipotawala nchi hii walileta maendeleo ya vitu lakini watu walikosa uhuru na heshima.

Kumbuka kitendo cho chote kinachokupa uhuru wa kujiamulia mambo yako ni kitendo cha maendeleo japo hakikuongezei shibe wala afya!
 
Demokrasia inalazimishwa kwenye nchi zenye 'idiots' wengi.
Kwa hiyo huenda tofauti kati yetu na China huenda ina watu wengi wanaopenda kufikiri na kufanya kazi kwa juhudi na maarifa ambapo ni kinyume na huku ambapo wajinga ni wengi na wapenda starehe kuliko kazi
 
Nakuelewa sana mkuu
Demokrasia ni eneo moja pana sana,
 
kwanini kunywa gongo hakuleti maendeleo wengeuliza hilo swali kuliko kuuliza jambo usilolijuwa.
kijana hapa duniani hakuna gonjwa baya kama uCCM. kwa taarifa yako kuna vitu viwili ambavyo katika nchi vinaweza kuleta maendeleo
1. Jambo la kwanza ni kupata kiongozi mwenye kuipenda nchi yake na pia mwenye vision maono.
2. jambo la pili ni demokrasia ya kweli.
kwa hapa Tanzania hatuna hata moja katika ya hilo wala sio Tanzania tu ni Africa yote hakuna. na laana kubwa ya Tanzania ni hili dude linaloitwa CCM mimi nakuhakikishia kijana bila ya kuondoka CCM Tanzania maendeleo sahau hakuna litakalo kuwa mpaka kiyama kitasimama.
CCM ina miaka 60 ya utawala lakini hakuna la maana hata plan tu ya mji imeshindwa kuplan. halafu anakuja bwege mmoja n ngonjera za CCM.
Kuelewa swali ni kitu kingine, na kuchangia hoja napo ni kiti kingine, hujaeleweka mkuu
Angalau ungeonyesha kitu kizuri ambacho kipo upande wa pili ndipo uwaponde wengine
 
kwanini kunywa gongo hakuleti maendeleo wengeuliza hilo swali kuliko kuuliza jambo usilolijuwa.
kijana hapa duniani hakuna gonjwa baya kama uCCM. kwa taarifa yako kuna vitu viwili ambavyo katika nchi vinaweza kuleta maendeleo
1. Jambo la kwanza ni kupata kiongozi mwenye kuipenda nchi yake na pia mwenye vision maono.
2. jambo la pili ni demokrasia ya kweli.
kwa hapa Tanzania hatuna hata moja katika ya hilo wala sio Tanzania tu ni Africa yote hakuna. na laana kubwa ya Tanzania ni hili dude linaloitwa CCM mimi nakuhakikishia kijana bila ya kuondoka CCM Tanzania maendeleo sahau hakuna litakalo kuwa mpaka kiyama kitasimama.
CCM ina miaka 60 ya utawala lakini hakuna la maana hata plan tu ya mji imeshindwa kuplan. halafu anakuja bwege mmoja n ngonjera za CCM.
Kuelewa swali ni kitu kingine, na kuchangia hoja napo ni kiti kingine, hujaeleweka
Nakuelewa sana mkuu
Demokrasia ni eneo moja pana sana,
Demokrasia ni starehe ya wazungu, na nyinyi waafrica strehe yenu ni nini?😛
 
China ina maendeleoa ya vitu, ila maisha ya wanachi wengi ni shida tu, huwezi kuishi china ukafurahia maisha.
 
Mila au jadi na utamaduni wa Mwafrica, Ulaya kwao wanaita Demokrasia na ndiyo maisha na utamaduni wao na wanauishi kama ambavyo leo kwa waafrica wengi walivyo na maisha ya kutambika, halafu badala ya kukomaa na utamaduni wetu, tumechukua utamaduni wa mzungu kuulazimisha eti yawe maisha yetu, na ndiyo maana tunauwana bule

Wananchi wakiwa katika kutimiza maana ya Demokrasia, mtawala yeye anaona ni upumbavu, na ndiyo ukweli

Kuandamana kwenda kuvunja magereza ni uhuni siyo Demokrasia
Starehe za wazungu wa ulaya na American mnataka kuziishi nyinyi waafrica mnaweza?

Mapenzi ya jinsia moja nayo ni Demkrasia, mtu wa huko akiwa na hasira anajifungia na kuvunjavunja vyombo vya ndani, hiyo ni sehemu ya ustarabu wao, lakini kwenu sasa, mtu umekadirika unaandaa maandamano ya kwenda kumg'oa rais Ikulu au kuvunja magereza ya segerea, kwa nini usibamizwe?
 
Hizi hapa nchi nyingine ambazo hazijawahi kuwa na Demokrasia kabisa; Korea Kaskazini, Burundi, Rwanda, Lesotho, DRC Congo, Uganda, CAR, Equatorial Guinea, Mali, Eritrea, Zimbabwe
Lakini pia zipo nchi zenye Demokrasia kama Msumbiji, N.k
 
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,

Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia

Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?

Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.

Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.

Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.

Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?

Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.

Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake

Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Mwingine atasema heri mara kumi na tano Kwa kutokuwepo kwake !!
 
Umeona rais wa china anaenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwao?
Isitoshe tumeishi kama china kwa muda mrefu mbona hatuna maendeleo?
China haijawai kuwa na demokrasia acha uongo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom