Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Wewe ni bangi tu ndio inakusumbua, inaonekana hata hujui maana ya maendeleo.

Nchi wananchi wake wengi bado wanaishi kimachinga wewe unasema imeendelea. Ndio shida ya kukariri GDP kama kigezo cha kupima utajiri, siku moja ukienda China ndio utaelewa ninamaanisha nini.
 
Unamaanisha maendeleo makubwa ndani ya Demokrasia ni yataka moyo siyo?
Ishu sio udiktekta wala demokrasia Sera, mipango na mbinu za kiuchumi ndio chagizo kubwa la maendeleo ya nchi.

Kuna nchi zinaongozwa na madiktekta na mifumo isiyo ya kidemokrasia lakini zina Hali mbaya kiuchumi.

Pia zipo nchi za kidemokrasia ambazo zinafanya vizuri kiuchumi Hong Kong na Singapore kama mifano.

Ila nchi za Asia zilizoendelea hatua za mwanzo walisacrifice demokrasia.
 
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,

Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia

Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?

Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.

Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.

Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.

Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?

Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.

Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake

Mungu bariki Viongozi wote Jasiri

China haijawahi kuwa na demokrasia hivyo unauliza kitu ambacho hakipo
 
Mkuu Duniani kote hakuna Hlo Jambo ni vyema ukachagua tu Kama unataka MAENDELEO achana NA DEMOCRASIA.. Hao ndg hawajawahi kuwa sehem moja wakaenda asilan abadani.. JPM alichagua maendeleo na uhuru(DEMOCRASIA) yenye mipaka unaona kilichotokea???

Tulivuka kwenye kipindi kigum mno Cha corona, unaona tulivyopiga hatua kwenye miundombinu?? Unaona jinsi wizi ulivyopungua? Unaona nidham ilivyorudi??

Sasa angalia nao miez 3 mzee kapumzika... Sa iv kunamtu anasema unanijua mm ni Nan?? Wiz wako huru.. miundombn itafell hakuna pesa.. Sasa hyu JPM alizitoa wapi??

Ndo ujue Sasa maendeleo na democracy haviko sawa.. ila Kama ni DEMOCRASIA ya mipaka sawa..

Hata kwenye family yako ukiruhusu uhuru usio na mipaka utarijua jiji...
 
Ugoro mtupu.ata maana ya democrasia yenyewe hujui.kwahiyo jpm tu ndo alijenga miundombinu?bure kabisa.
 
Mkuu Duniani kote hakuna Hlo Jambo ni vyema ukachagua tu Kama unataka MAENDELEO achana NA DEMOCRASIA.. Hao ndg hawajawahi kuwa sehem moja wakaenda asilan abadani.. JPM alichagua maendeleo na uhuru(DEMOCRASIA) yenye mipaka unaona kilichotokea???

Tulivuka kwenye kipindi kigum mno Cha corona, unaona tulivyopiga hatua kwenye miundombinu?? Unaona jinsi wizi ulivyopungua? Unaona nidham ilivyorudi??

Sasa angalia nao miez 3 mzee kapumzika... Sa iv kunamtu anasema unanijua mm ni Nan?? Wiz wako huru.. miundombn itafell hakuna pesa.. Sasa hyu JPM alizitoa wapi??

Ndo ujue Sasa maendeleo na democracy haviko sawa.. ila Kama ni DEMOCRASIA ya mipaka sawa..

Hata kwenye family yako ukiruhusu uhuru usio na mipaka utarijua jiji...
Umenitfakarisha sana mkuu, hata mimi Naamini kwenye Demokrasia yenye mipaka
 
China haijawahi kuwa na demokrasia hivyo unauliza kitu ambacho hakipo
Sasa, hao jamaa mbona kimaendeleo wako mbali sana kinyume kabisa na wengi wanavyoamini kwamba, Demokrasia ndiyo huleta maendeleo?
 
Magufuli amejiidai kuua demokrasia na uchumi umeanguka toka 7% Hadi 4%

Kwao mujibu wa hotuba ya mama samia
Kweli anastahili sanamu, tunalazimisha legacy ya Mwendawazimu.

Nchi ngumu sana hii..
 
Hizi hapa nchi nyingine ambazo hazijawahi kuwa na Demokrasia kabisa; Korea Kaskazini, Burundi, Rwanda, Lesotho, DRC Congo, Uganda, CAR, Equatorial Guinea, Mali, Eritrea, Zimbabwe
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,

Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia

Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?

Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.

Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.

Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.

Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?

Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.

Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake

Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
 
Sasa, hao jamaa mbona kimaendeleo wako mbali sana kinyume kabisa na wengi wanavyoamini kwamba, Demokrasia ndiyo huleta maendeleo?

Saudi Arabia, UAE na nchi nyingi za Kiarabu wana uchumi mkubwa ukilinganisha na idadi ya watu kuliko China na hawana demokrasia tusiongee kama vile China wako peke yao. Ni mfumo tunaochagua kutokana na watanzania wanataka nini? Mpaka sasa watu wengi wanapenda mfumo wa demokrasia. China kuna waislamu wamewekwa kambini ili wasiwe na dini na wanafanya kazi bure, idadi ya watoto wanapanga serikali yaani serikali inatoa mimba watu kwa lazima!, hakuna dini na Raisi ni dekteta kama huo ndiyo mfumo unao upenda kaombe visa.

Wachina wakipata utajiri wengi wanakimbilia Canada na US. Hata mtoto wa Raisi anasoma US!
 
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,

Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia

Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?

Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.

Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.

Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.

Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?

Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.

Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake

Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Kama huifahamu historia ya China, ni vizuri ukauliza ili ufahamishwe. Miaka mingi iliyopita, China ilitawaliwa na Vikundi vya Wavamizi wababe kutoka nje ya hilo Taifa! Na hivyo vikundi vilianzisha tawala zao za kibabe na kikatili ndani ya China, zilizojulikana kama Dynasties!

Na Wavamizi wa mwisho mwisho, walikuwa ni Manchus kutoka Manchuria! Hawa Manchus waliitawala China toka karne ya 17 (1600's), na walipinduliwa na Wachina kwenye Mapinduzi ya Kwanza ya mwaka 1912! Kimsingi Wachina walikuwa/ ni watu wenye Uzalendo sana kwa Taifa lao kuanzia enzi hizo, mpaka sasa!

China pia ilitawaliwa na Mataifa ya Ulaya na Japan kwenye karne ya 19 mpaka mwanzoni mwa karne ya 20, kabla ya kuamua kupambana na hivyo kufanikiwa kuwaondoa (wavamizi wa mwisho walikuwa ni Wajapan ambao waliondolewa rasmi baada ya kumalizika kwa Vita Vya Pili Vya Dunia na hivyo Japan na washirika wake Ujerumani na Italia kushindwa)

Baada ya Vita vya Pili vya Dunia, China ilifanya Mapinduzi ya Kijamaa mwaka 1949! Na Kiongozi wa Mapinduzi hayo, Mwenyekiti Mao Tse Tung (Mao Ze Dong), akawa Rais wa China ya Kijamaa mpaka katikati mwa miaka ya 1970's alipofariki dunia. Hasimu wa Mao, Chiang Kaishek yeye alienda kunzisha Taifa lingine la China katika kisiwa cha Taiwan, na Taiwan ilitambuliwa na Mataifa ya Magharibi kama Taifa halali la China mpaka miaka ya 1970's ndipo Marekani na washirika wake walipoitambua China ya Kijamaa kwa shingo upande.

Baada ya kufariki kwa Mao aliyekuwa na msimamo mkali kwenye ujamaa (kama alivyokua rafiki yake JK Nyerere wa Tanzania), Wajamaa waliomfuatia kutawala China, waliamua kulegeza masharti ya Ujamaa kwa kuchukua baadhi ya vitu vizuri kwenye Ubepari, na ndipo ikatokea China hii ya sasa!

Ila China ya kipindi cha Mao Ze Dong, ilikuwa ni China ya kawaida sana!

Hivyo kwa ufupi, tangu Taifa la China lilipozaliwa rasmi mwaka 1949, hakukuwahi kuwa na mfumo wa vyama vingi, au demokrasia kama ile ya magharibi! Since then, China inatawaliwa chini ya mfumo wa chama Kimoja kinachoitwa Chinese Communist Party (CCP)! Nyerere alijaribu kudesa kila kitu kwenye Ujamaa wa China, kilichomkuta anakijua mwenyewe huko aliko.

Umeelewa sasa? Urudi kwq mwalimu wako na umwambie, mwalimu ulininywesha sumu! Kuhusu China kuwa na demokrasia.
 
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,

Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia

Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?

Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.

Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.

Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.

Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?

Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.

Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake

Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Makala yako hii ukiiandika ukiwa ZAMBIA au SRI LANKA kwamba ufunge ndoa na china wanainchi watakukamua hadi utoke ubongo aseee. China ni bepari kuzidi neno bepari lilivyo.
 
Mkuu Duniani kote hakuna Hlo Jambo ni vyema ukachagua tu Kama unataka MAENDELEO achana NA DEMOCRASIA.. Hao ndg hawajawahi kuwa sehem moja wakaenda asilan abadani.. JPM alichagua maendeleo na uhuru(DEMOCRASIA) yenye mipaka unaona kilichotokea???

Tulivuka kwenye kipindi kigum mno Cha corona, unaona tulivyopiga hatua kwenye miundombinu?? Unaona jinsi wizi ulivyopungua? Unaona nidham ilivyorudi??

Sasa angalia nao miez 3 mzee kapumzika... Sa iv kunamtu anasema unanijua mm ni Nan?? Wiz wako huru.. miundombn itafell hakuna pesa.. Sasa hyu JPM alizitoa wapi??

Ndo ujue Sasa maendeleo na democracy haviko sawa.. ila Kama ni DEMOCRASIA ya mipaka sawa..

Hata kwenye family yako ukiruhusu uhuru usio na mipaka utarijua jiji...
Hivi zile 1.5 trillion zilipotea kipindi gani????
Ukiwa unataka kulijibu pitia hapo kwa POLEPOLE, KENANI KIHONGOSI, SABAYA, BASHITE, KHERI JAMES na SHAKA HAMDU mje woote mjibu hili swali.
 
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,

Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia

Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?

Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.

Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.

Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.

Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?

Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.

Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake

Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Inawezekana ni kweli upo sahihi

Kipindi cha Gaddafi walikuwa wanasema Libya haikuwa na demoklasia lakini ndio kipindi ambacho wa Libya walipata mahitaji yote muhimu bure kutoka katika huo utawala wa kidickteta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanafikiri Demokrasia ni kuwa na uchaguzi mkuu tu. Demokrasia ni zaidi ya hapo. Kitendo cha voingozi kuweza kuwajibishwa wanapoenda ndivyo sivyo ni sifa mojawapo kubwa ya demokrasia.
Uhuru wa biashara na kusikilizwa ni sehemu nyingine. Sifa ni nyingi, na demokrasia ni pana.

China baada ya Mao imefanya mageuzi mengi yenye sifa za kidemokrasia. So maendeleo ya China si sababu ya kukosa Demokrasia, ni sababu ya kuadopt baadhi ya mambo ya kidemokrasia. Na ili izidi kusonga zaidi itahitaji kuadopt zaidi.
 
Wewe ni bangi tu ndio inakusumbua, inaonekana hata hujui maana ya maendeleo.

Nchi wananchi wake wengi bado wanaishi kimachinga wewe unasema imeendelea. Ndio shida ya kukariri GDP kama kigezo cha kupima utajiri, siku moja ukienda China ndio utaelewa ninamaanisha nini.
mkuu, unadhani usipotumia maneno ya kuudhi hutaeleweka?
 
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,

Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia

Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?

Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.

Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.

Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.

Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?

Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.

Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake

Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Kwa nini China huwa haigundui bali huwa inaiga tu? Wanasaikolojia wanasema, mtu asiyekuwa huru, hata awe na akili namna gani, hawezi kugundua kitu. China pamoja na kuwa na watu wengi kuliko Taifa lolote, lakini haina ugunduzi. Uwezo wao umeishia kukopi.

Kwa nini China pamoja na ukubwa na uwingi wa watu, katika maendeleo ya watu, ni nchi ya 89, yaani inazidiwa mpaka na baadhi ya nchi za Afrika?

Kwa nini China, taifa lenye watu wengi zaidi Duniani, mpaka leo, ndani ya nchi yao, makampuni makubwa karibu yote ni ya wawekezaji wa nje?

Kwa nini China, kabla ya kuruhusu uwekezaji wa nje nchini mwao, ilikuwa hohe hahe miaka yote?
 
Back
Top Bottom