🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe n king kiba kataa uskatae maana hili promo sio la kawaida kabisa na kama wewe sio kiba Ndugu yangu acha kutumia kilainishi mrudie mungu wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe n king kiba kataa uskatae maana hili promo sio la kawaida kabisa na kama wewe sio kiba Ndugu yangu acha kutumia kilainishi mrudie mungu wako
Siku zote watoto wadogo huwaogopa wakubwa zao.Nimekuwa nikifatilia performance nyingi zinazowakutanisha Alikiba na Diamond jukwa moja, huwa inampanikisha sana Diamond na kupelekea kufanya performance mbovu sana. Kama mnakumbuka kwenye Tuzo za MTV Africa music award MAMA, Alikiba na Diamond walikutanushwa na jukwaa moja usiku ule. Alikiba alifanya makamuzi mazuri sana akiwa ka relax na kufanya performance ya kueleweka lakini ulipofika wakati wa Diamond aliingia kapaniki makelele tu wala haeleweki nikahisi may be kwa kuwa na jukwaa la kimataifa limepelekea kupaniki.
Hii kitu imejitokeza tena leo pale Dodoma kweny mkutano wa wanachama wa ccm. Alikiba kapiga show safi ya maana na ya kueleweka akiwa very calm sauti inasikika safi kabisa mtu unainjoi kufatilia utumbuizaji bora kutoka kwa kijana huyu wa kariakoo. Lakini alipokuja kuingia mtt wa Tandale hali imekuwa tofauti kabisa kafanya show mbovu sana kelele kuruka ruka pumzi hamuna yaani in-short hakuna alichofanya kazidiwa hadi na mtt wake Zuchu kafanya performance nzuri kabisa.
Diamond unatuangusha sana mashabiki zako kwa nn Alikiba anakuwa anachukua point kizembe sana kila mnapokutanishwa kwa jukwaa moja? Next time jaribu ku-relax bhana acha kukamia ili uonekane umefanya show kali kuzidi mwenzio. Mbona kwny show ukiwa mwenyewe mbn unakuwa vizuri tu nini kinakufanya unakuwa unapaniki kiasi icho unatuaibisha sana mashabiki zako.
Kuimba au Kiki?nyimbo za Diamond kama verse ya Hip hop...mitusi mitupuDiamond is far away if not miles away best compared to mister Asiyependa show offs.... Acha kuandika porojo!!!!
Kama unachuki bnafsi na diamond sitashangaa Jibu lakoKuimba au Kiki?nyimbo za Diamond kama verse ya Hip hop...mitusi mitupu