Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Nauliza tu sio kwa ubaya kwanini Diamond plantum amemtwnga mtoto wake aliyezaa nae hamisa mobote?
Unajitahidi sana we bro kuwa maarufu humu Jf kwa swaga zako za kike. Baada ya kuona kila uzi wako unabuma na wakulungwa wanakushtukia sasa umekuja na issue za kumjadili jamaa. Si mtafute na umuulize, sisi issue zake na hawara na mtoto wake zinatuhusu nini?
 
Yeye mwenyewe si kuna madai alisuswa na baba yake?

Hiyo spirit inatembea bado ktk familia yao anaendeleza kile kile alichokifanya baba yake kumkataa yeye.
Ubaya ni kuwa neno lolote atakalolizungumza platnumz lazma limrudie,

Akisema hamisa alimsingizia mtoto, mama yake nae amelifanya hilo kwa mzee abdul publicly

Kama amemkana mtoto huku akijua ni wake au tu kumpuuza. Atakuwa amefanya kitu ambacho ameshafanyiwa

Moral of the story, walioumizwa huumiza wengine
 
Nahisi wenye majibu hasa ni Hamisa na huyo Diamond maana ndio wazazi wa mtoto. Kuuliza hapa utaishia na story za kusadikika tu.

Pia, nahisi kutengwa kwa huyo mtoto hakuna athari yeyote katika maisha yako binafsi. Ni bora ungeachia wazazi wa deal nayo.
 
Angalia jukwaa hapa tubaongea celebrities kama hapakuhusu tulia baba
 
Unajitahidi sana we bro kuwa maarufu humu Jf kwa swaga zako za kike. Baada ya kuona kila uzi wako unabuma na wakulungwa wanakushtukia sasa umekuja na issue za kumjadili jamaa. Si mtafute na umuulize, sisi issue zake na hawara na mtoto wake zinatuhusu nini?
Aisee ningejua ni Uzi wa hili punga nisingecomment , umenisanua , wacha nifute comment yangu
 
Back
Top Bottom