MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 546
Nauliza tu sio kwa ubaya kwanini Diamond Platnumz amemtenga mtoto wake aliyezaa nae Hamisa Mobeto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ulimshikia 'miguu' wakati wa kunyanduana mpaka useme mtoto wake?!Nauliza tu sio kwa ubaya kwanini Diamond plantum amemtwnga mtoto wake aliyezaa nae hamisa mobote?
Kamuulize yeye, sisi hatuna majibu.Nauliza tu sio kwa ubaya kwanini Diamond plantum amemtwnga mtoto wake aliyezaa nae hamisa mobote?
Unajitahidi sana we bro kuwa maarufu humu Jf kwa swaga zako za kike. Baada ya kuona kila uzi wako unabuma na wakulungwa wanakushtukia sasa umekuja na issue za kumjadili jamaa. Si mtafute na umuulize, sisi issue zake na hawara na mtoto wake zinatuhusu nini?Nauliza tu sio kwa ubaya kwanini Diamond plantum amemtwnga mtoto wake aliyezaa nae hamisa mobote?
Ubaya ni kuwa neno lolote atakalolizungumza platnumz lazma limrudie,Yeye mwenyewe si kuna madai alisuswa na baba yake?
Hiyo spirit inatembea bado ktk familia yao anaendeleza kile kile alichokifanya baba yake kumkataa yeye.
Mkuu umeripoti kama Gossip coup mwenyewe Sudi Brown(inasemekana) hamisa alikuwa anamtumia mtoto kumvuna nassib kama kumkomoa na bado akawa anamuwekea ugumu kumuona mwanae, mtoto wa tandale akasusa., (Inasemekana lakini)
Sahihi kabisaMoral of the story, walioumizwa huumiza wengine
Kweli yule sio mtoto wake.....fuatilia na chunguzaNauliza tu sio kwa ubaya kwanini Diamond plantum amemtwnga mtoto wake aliyezaa nae hamisa mobote?
Angalia jukwaa hapa tubaongea celebrities kama hapakuhusu tulia babaNahisi wenye majibu hasa ni Hamisa na huyo Diamond maana ndio wazazi wa mtoto. Kuuliza hapa utaishia na story za kusadikika tu.
Pia, nahisi kutengwa kwa huyo mtoto hakuna athari yeyote katika maisha yako binafsi. Ni bora ungeachia wazazi wa deal nayo.
OkAngalia jukwaa hapa tubaongea celebrities kama hapakuhusu tulia baba
Aisee ningejua ni Uzi wa hili punga nisingecomment , umenisanua , wacha nifute comment yanguUnajitahidi sana we bro kuwa maarufu humu Jf kwa swaga zako za kike. Baada ya kuona kila uzi wako unabuma na wakulungwa wanakushtukia sasa umekuja na issue za kumjadili jamaa. Si mtafute na umuulize, sisi issue zake na hawara na mtoto wake zinatuhusu nini?
Naunga mkonyo...Mtoto wa billnass huyo mondi sio mjinga na hayupo tayari kulea kiumbe kisicho damu yake.
Period thread ifungwe.
Nauliza tu sio kwa ubaya kwanini Diamond plantum amemtwnga mtoto wake aliyezaa nae hamisa Mobeto?