Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Sio alivyokuwa mwanzo, we haupo insta mbona Mambo yake yapo live tu, mitandaoni huoni show zake, anavyohojiwaga na wanahabari mbona vitu vinajionyesha tu, na Wala hamsumbui Tena Ela ya mtoto ya penseli sijui ada wala Mara ustawi wa jamii, na kasema vingine Kama baraka sio Kama alivyokuwa mwanzo mungu anamakusudi ndomana milango imefunguka ya riziki.
Mitandao ya kijamii bado hujaijua, kwani wengi wanakuonyeshea wanachotaka ukione kile ambacho hawataki hawa kuonyeshei.

Wema,Anti,Wolper walikuwa na wanaume wenye hela,kila siku kutrend kwenye mitandao, sasa hivi wa nini.

Trend na show off za wadangaji, huwaga ni za mda baadae atakaa juu ya mawe.Kwani wengi wao hawana akili ya utafutaji, hawana nidhamu ya kutunza hela,wanawaza mashindano na matumizi ya vitu vya kipuuzi.
 
Anogopa kitawaka na Nandy Ila alipita nae Hamisa
Anafanana sana na huyu

Screenshot_20231029-110926.png
 
Alifanyiwa nini ambacho yeye hajawahi kuwafanyia wengine. Inshort ile situation ilisaidia kubalance ego yake

By the way watanzania walio obsessed na Zari huwa nawashangaa sana. That woman anawadharau watanzania sana sanaaa, ingekuwa ni hata Kenya, angekuwa cancelled muda sanaaa
Kaka umeongea kishabiki hadi sijaamini kama ni wewe. Kwanini umeiita “obsession “ na sio mapenzi? Sisi kama watz haturuhusiwi kumchagua wa kumpenda regardless ni mtz au sio mtz?

Halafu what again? Anawadharau watz ukimaanisha na bibi na babu yangu walioko kitinku? Come on? Sema anawadharau na kuwatukana wanao mtukana. Thats very fair, Zari anajidefend mwenyewe, anawatukana wanaomtukana sababu hawezi nyamaza, our own Hamisa akitukanwa anaenda kumwambia Mange anamsaidia kuchamba/kutukana sababu yeye amesema hawezi gombana ila anaweza kutafuta wa kumsaidia ugomvi! Kwahiyo futa hiyo waTz tunadharauliwa na Zari, sote kwa pamoja? No!!!!
 
Ila Yule mtoto hana hata kitu chochote cha kufanana na mondi inabidi hamisa awe mkweli mbona mtoto aliyezaa nae majizzo anafanana na majizzo
Si Inawezekana akafanana na mama yake? Maana yake mtoto wa Hamisa na Diamond anaweza akafanana na Hamisa kwa 100%

Binafsi sio shida kwenye kufanana, WaTz tubadilike, kuna kingine ambacho Hamisa na Diamond wanavutana sidhani kama kinahusiana na mtoto kufanana na nani.
 
Kaka umeongea kishabiki hadi sijaamini kama ni wewe. Kwanini umeiita “obsession “ na sio mapenzi? Sisi kama watz haturuhusiwi kumchagua wa kumpenda regardless ni mtz au sio mtz?

Halafu what again? Anawadharau watz ukimaanisha na bibi na babu yangu walioko kitinku? Come on? Sema anawadharau na kuwatukana wanao mtukana. Thats very fair, Zari anajidefend mwenyewe, anawatukana wanaomtukana sababu hawezi nyamaza, our own Hamisa akitukanwa anaenda kumwambia Mange anamsaidia kuchamba/kutukana sababu yeye amesema hawezi gombana ila anaweza kutafuta wa kumsaidia ugomvi! Kwahiyo futa hiyo waTz tunadharauliwa na Zari, sote kwa pamoja? No!!!!
Nasimama na zari🤣🤣
 
Mitandao ya kijamii bado hujaijua, kwani wengi wanakuonyeshea wanachotaka ukione kile ambacho hawataki hawa kuonyeshei.

Wema,Anti,Wolper walikuwa na wanaume wenye hela,kila siku kutrend kwenye mitandao, sasa hivi wa nini.

Trend na show off za wadangaji, huwaga ni za mda baadae atakaa juu ya mawe.Kwani wengi wao hawana akili ya utafutaji, hawana nidhamu ya kutunza hela,wanawaza mashindano na matumizi ya vitu vya kipuuzi.
Walau kati ya mabinti wa bongo, Hamisa amejitahidi zingatia alikotokea, no education no career, na ameweza kusogea alipo sogea. Tofauti na wenzio kwanza wenzio hata familia walizotokea zina unafuu ukimuondoa wolper. AmeJitahidi binti wa watu, hana vingi ila ana vitu.
 
Amejitahidi kwa mda gani? Hivi trend ya wadada wadangaji wa intagram huzijui, kwani Wema ilikuwaje na yule jamaa waIkulu,mpaka kafunguliwa kampuni ya production then ikawaje......? Wolper na yule dogo muuza Poda........? Anti nae...........?

Issue mimi hapa ninayo zungumzia continuity na discipline ambayo wadangaji hawana,husizuzuke na hiki unacho kiona leo.Kwa kifupi wandangaji maisha yao 99% ni fake na wengi hawana akili ya maisha wala nidhamu ya maisha ,sababu hawana akili ya kutafuta kwa kitumia jasho na akili.

Ukimuona binti katoboa sababu ya kudanga jua danga lilimkuta ktk harakati za utafutaji au alikuwa na idea ya biashara ila alikosa mtaji,mfano Ritha na mara nyingi huwaga sio wa kubadilisha madanga mara kwa mara. Kuna mama mmoja wa kinyakyusa ana bonge la shape,alilipata danga kwenye kamgahawa chake,leo hii yule mmama ana kampuni kubwa na mapishi ya chakula na maduka matatu ya jumla ya vinywaji.

Hao niliwataja walianzisha biashara ngapi leo zipo wapi? na ndio maana maisha yao wanategemea kubadilisha madanga sababu hawana akili ya maisha,hivi huyo Hamisa duka lake la Mnyamala lipo wapi?

Point yangu wengi huwaga hawaifikiri kesho.
 
Hiyo moral of the story mbona ipo one side tu, mbona na yy hamisa inamtafuna kwa aliyoyafanya kwa Zari? Au kwa vile ni mTz mwenzetu tufunike kombe mwanaharamu apite
Hakuna aliyeolewa kati ya Zari na Hamissa,wote wazinzi TU
Zari alivuna matokeo ya Uzinzi wake na Hamisa NAE anavuna matokeo ya Uzinzi wake na Diamond pia atavuna matokeo ya Uzinzi wake
 
Diamond hawezi kukataa mtoto sio rahisi kwa matajiri kukataa mtoto hususani Diamond hana ndoa watoto wote kazaa nje ....Yule Hamisa anazaa na matajiri ili apate chochote kile kama alivyozaa na majizzo .

Diamond inasemekana kuna walakini maana DNA za bongo ni utapeli na alitak kwenda south alikataa eti mtoto anadhalilishwa kupimwa DNA...yule mwanamke angekuwa labda ana uhakika wasingepelekana mahakamani
.. Diamond na Hamisa wote vicheche na hakuna mtu anamuamini mwenzie.

Mfumo anatumia kuzaa na matajiri ajiandae tunawajua jamii fulani ambayo kaoa huyo Majizzo watakuja kusumbuana kweny urithi ..
Kuhusu majizo usiwe na shaka labda abadilike baadae ana pre nuptial agreement,Yuko makini mnoo na mwanawe, Fantasy tayari ameshajengewa vya kwake pale alipo ana nyumba yake na Hamisa aliondolewa kwenye nyumba ya Majay baada ya kuruhusu Mondi awe anaenda kulala pale Nadhani ndo Daimond akaenda mpangishia Kule mbweni sijui bahari beach....!!!ila Mohammed Chiza kashahakikisha kajipanga vzr tue Kwa watoto wake aluowapata kabla ya ndoa vzr tu
Kuhusu kukataa Mtoto Daimond na mama wako tayari kufanya lolote Kwa ajili ya maarufu,mfano Aliweza sema Mzee Abdul sio baba yake hadharani leoo hii ht alikataa mtoto hakuna Cha kushangaa na Bado anatumia jina la Mzee Abdul na Mzee alivyo na hekima alikaa kimya akasema tu 'km Mimi sio baba Ake sawa,ila aache kutumia jina langu'kiufupi Bi Sandra ni mfano mbaya wa Single mama ana chuki mnoo na mbinafsi sana (Mungu anisamehe kama mmetuma lugha Kali)ila ndo ukweli,huyo Daimond anaogopa kumuudhi mama yake ndo maana anafata Kila asemacho hata yasiyo sahihi
Kuhusu DNA Hamisa amekubali wafnaye hadharani nchi yoyote Ile Duniani
 
Walau kati ya mabinti wa bongo, Hamisa amejitahidi zingatia alikotokea, no education no career, na ameweza kusogea alipo sogea. Tofauti na wenzio kwanza wenzio hata familia walizotokea zina unafuu ukimuondoa wolper. AmeJitahidi binti wa watu, hana vingi ila ana vitu.
Ukweli tuseme mabeto kajitahidi hata dada wa taifa alimwambia zari ulivyokuwa na umri wa mabeto ulikuwa na Nini? hiyo inaitwa bariki ubarikiwe, anatembelea Nini,? kapanda jet la kukodi kulifata ndinga la haja, Sasa hivi sio yule wa kwenda ustawi wa jamii, Mara kuvuliwa wigi limetupwa kwenye pool, Sasa hivi China , dubai, USA, mtoto mdogo, wazee tupo jf tunamjadili, mungu anaweza kumuinua masikini aliye shushuka live.
 
Back
Top Bottom