Kwanini dini hizi UYAHUDI, UKRISTO na UISLAMU zinatofautiana siku ya kusali wakati chimbuko lao Moja (Abrahamic Religions)

Sawa,naleta lingine
Waislamu hugeukia upande maalum muda wa ibada(qibla)
Na pia wakristo kutumia alama ya msalaba
 
Waza vitu vya maendeleo vitakavyokua na msaada kwenye maisha yako, achana na hizo hadithi za sungura na fisi.
 
Sawa,naleta lingine
Waislamu hugeukia upande maalum muda wa ibada(qibla)
Na pia wakristo kutumia alama ya msalaba
Kwani Quran Inasemajr Sheikh?
Kwanini Qibla Iligeuka Kutoka Baitil Muqadas Kwenda Makka?
Soma Quran Sheikh Iko wazi Lengo ni kujitofautisha na Mayahudi ambao wao walikuwa na Qibla Cha Baitil Muqadas..
Na Ndo Qibla Kikageuka..

Mabadiliko ya Kibla kutoka Bayt al-Maqdis (Jerusalem) kuwa Makkah ukisoma Tarekh Yalifanyika Mwaka wa Pili wa Hijria (approximately 624 CE)...

Na kwenye Quran Ukisoma Utapata Kitu..



Wakristo Hutumia Msalaba Kama Alama (Japo Si wakristo wote) na Waislamu Hutumia Nyota Na Mwezi wakati wayahudi hutumia Nyota yenye NCHA sita..

So mfanano Bado upo
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…