Kwanini divai kwa Catholics huwa wanakunywa mapadri peke yao?

Kwanini divai kwa Catholics huwa wanakunywa mapadri peke yao?

Makanisa mengine kama Lutheran na Anglican divai Huwa watu wanashiriki lkn Kwa catholic Huwa wanakunywa wenyewe tena wanazinywea kitimito kabisa kwenye makazi yao
Oh utakuwa unaongelea tukio la kiibada lakusema "Hii ni damu ya Yesu Kristo kunyweni ili mpate uzima wa milele." Mimi nimeshakunywa sana divai nilipokuwa ministrant/ mtumishi wa padre madhabahuni.
 
Makanisa mengine kama Lutheran na Anglican divai Huwa watu wanashiriki lkn Kwa catholic Huwa wanakunywa wenyewe tena wanazinywea kitimito kabisa kwenye makazi yao
Dini zingine ni kua na Imani tu, ukitumia reasoning katika Dini ya catholics utaikaidi tu, lazima kwa kiasi kikubwa uwe kama kondo kufuata tu kila kitu, ili usikosane nao.
 
Back
Top Bottom