Kwanini divai kwa Catholics huwa wanakunywa mapadri peke yao?

Ile mikate na divai tumekunywa sana home, mama angu mdogo alikua anadate na padre, bas anavibeba tunakula wee.

Gari ya parokia ilikua inampeleka mam mdogo shule wakati wa kufungua.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sifa za kijinga
 
Makanisa mengine kama Lutheran na Anglican divai Huwa watu wanashiriki lkn Kwa catholic Huwa wanakunywa wenyewe tena wanazinywea kitimito kabisa kwenye makazi yao
Huo Ni utaratibu wao walio jiwekea. Hata wewe unaweza ukaanzisha taasisi yako na kujiwekea masharti ya kukunufaisha wewe.
 
Ile mikate na divai tumekunywa sana home, mama angu mdogo alikua anadate na padre, bas anavibeba tunakula wee.

Gari ya parokia ilikua inampeleka mam mdogo shule wakati wa kufungua.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana
 
Oh utakuwa unaongelea tukio la kiibada lakusema "Hii ni damu ya Yesu Kristo kunyweni ili mpate uzima wa milele." Mimi nimeshakunywa sana divai nilipokuwa ministrant/ mtumishi wa padre madhabahuni.
Na zaidi hanywii padre pekee mara nyingi.
Kwenye ibada zenyw watu wachache wote wanakunywa kwa kulambishwa kwenye sacrament.
Ukitaka kila mtu anywe mfano ibada ina waumini 2000 kwa misa moja inabidi uwe na drums za hyo divai.
 
Ile mikate na divai tumekunywa sana home, mama angu mdogo alikua anadate na padre, bas anavibeba tunakula wee.

Gari ya parokia ilikua inampeleka mam mdogo shule wakati wa kufungua.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daa alikua anakula kondoo
 
Divai ni Wine ,Divai ni Mvinyo.....Tofautisha na Alcohol.
20230825_174108.jpg
 
Back
Top Bottom