Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Waislamu wanaapa kwa mwenyezi Mungu pekee!Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........
Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....
Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
Ana wenge π€£mganga wake kafeliAna mawenge huyo achana nae akana tikeine amagezi .kutoka ikulu mpaka makole sio mchezo
Bila shaka mtoa mada umepata majibu. Kimsingi viapo vya waumini wa dini ya kiislamu, kikristo na hata wale wapagani! Vinatofautiana.Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........
Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....
Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
Hujalijua? Ukiwa mwizi na dikteka hakuna atakaye kupendaπ€£karmaHv kosa la huyu mtu Ni lipi mpk watu wamefirahi hvyo
Kwenye viapo majeshini mbona hakuna kuthibitisha ni kuapa wote?Waislamu wanaapa kwa mwenyezi Mungu pekee!
Lakini cha ajabu wakimaliza kuthibitisha Wanasujudu kwa Spika.
Mhujumu wa uchaguzi katika ngazi zoteHv kosa la huyu mtu Ni lipi mpk watu wamefirahi hvyo
Jafo amesema anaapaWaislamu wanaapa kwa mwenyezi Mungu pekee!
Lakini cha ajabu wakimaliza kuthibitisha Wanasujudu kwa Spika.
Ni Cha Mbwa Ko~Ko π πππAcheni kumsumanga Bashiri kipigo alichopigwa kinatosha π
Sawa tunajindaa na pasaka ufufuko wa bwana wetu Yesu Kristiππ₯πΊYeye bado ni balozi na katibu wa ccm
Alishaapa kwa mwendazake sasa anathibitisha kiapo... Kuapa ni mara moja ila kuthibitisha ni zaidi ya mara mojaDr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........
Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....
Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
Nami najiuliza hili swali yeye bado ni katibu wa CCM?Yeye bado ni balozi na katibu wa ccm
Dunia imemshukia kama mwewe π€£Acheni kumsumanga Bashiri kipigo alichopigwa kinatosha π