Kwanini Dkt. Bashiru aseme anathibitisha kwamba, asiseme anaapa kwamba?

Video tafadhali
Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........

Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....

Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
 
Alishaapa alipoteuliwa kuwa katibu kiongozi, haijapita miezi miwili toka aape, hivyo hawezi kuapa tena ndani ya muda mfupi
Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........

Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....

Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
 
Mtoa Uzi ivyo viapo vipo vya dini tofauti

Mkeisto ana apa
Muislam anna thibitisha kisha una ambiwa kachukue seat ukae ...huku note zina anza kuingia
 
Hv kosa la huyu mtu Ni lipi mpk watu wamefirahi hvyo
Visasi dhidi ya JPM na unafiki. Rafiki wa adui yako ni adui yako......Bashiru (kwa maoni yangu), anabebeshwa na mizigo mingi isiyo yake au 'kuadhibiwa' kwa dambi za JPM.
 
Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........

Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....

Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
Zoezi zima ni upuuzi mtupu, iwe ni kuapa au kuthibitisha.

Maigizo yasiyokuwa na maana yoyote.

Wabuni kitu/jambo la maana zaidi ya hiyo comedy.
 
visasi dhidi ya JPM na unafiki. Rafiki wa adui yako ni adui yako......Bashiru (kwa maoni yangu), anabebeshwa na mizigo mingi isiyo yake au 'kuadhibiwa' kwa dambi za JPM.
Huyo Bashiru si ndiye alishirikishwa na kusimamia zoezi la wabunge wote wawe wa CCM?

Kwa hiyo sasa kaenda kushirikiana na timu aliyoiwezesha kuwa bungeni.
 
Acheni kumsumanga Bashiri kipigo alichopigwa kinatosha [emoji16]
Kweli hadi mtani anamsanifu
IMG-20210401-WA0000.jpg
 
Hivi huyu jamaaa Bado ndiye katibu mkuu wa Chama Cha Majambazi (CCM)
 
Atatega nini wakati akipiga mpira unarudi palepale kwenye goli kipa yuleyule.
Nä mimi ntaokota mipira kurudisha uwanjani
Game niendelee,hakuna mchezo mchezo 👊🤸‍♂️
 
Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........

Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....

Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
Huyu Dk. Bashiru amewakosea Nini baadhi ya watu? Mbona anasemwa Sana?
 
Back
Top Bottom