Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
- Thread starter
-
- #21
Weka ushahidiBashiru ni muislamu, haapi
Hv kosa la huyu mtu Ni lipi mpk watu wamefirahi hvyo
Wote hupewa kiapo kikiwa na nenoNashukuru kwa ufafanuzi huu , ila najaribu kuangalia viongozi wengi wa dini zote wanatumia naapa kwamba, je nikutokujua? Je jeshini napo wanaapa au wanathibitisha?
Pale wanapoapa kiapo kimoja mtu zaidi ya mmoja mbona sijawahi kusikia wakithibitisha? Rejea viapo vya kijeshi,
Sahihi kabisa.Wote hupewa kiapo kikiwa na neno
Naapa/nathibistha ikiwa na maana kwamba akifika sehemu ya kusema naapa .......kama ni mkristo atatamka hivo
Halafu akiwa muislam atasema nathibitisha.....
Hivo.
Wewe mkuu unaishi wapi? Huyu ni kati ya wale wanaosemwa kuwa wana ndimi mbili. Alishasema mwenyewe kwamba ukatibu mkuu wa chama ndiyo cheo chake cha mwisho. Hatakubali uteuzi wowote ule. Mpka sasa ameshapokea teuzi mbili tayari, ni wa kumuamini kweli huyo?Hv kosa la huyu mtu Ni lipi mpk watu wamefirahi hvyo
AiseeWaislamu wanaapa kwa mwenyezi Mungu pekee!
Lakini cha ajabu wakimaliza kuthibitisha Wanasujudu kwa Spika.
Ziara ya siku 7 Tanga huku akijua ......!Hv kosa la huyu mtu Ni lipi mpk watu wamefirahi hvyo
Wanaoapa ni Wakristu, Kamanda, Waislamu huthibitisha. Padri husalimia waumini akisema Bwana awe nanyi, Askofu husema Amani kwenu. Yaani hii miito na miamkio hufundishwa Darasa la 4.Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........
Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....
Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
Hiyo ipo kwenye Tume ya uchaguzi na Bungeni lakini mbona Ikulu tumewaona hata hao waislamu wakiapa?kawaida katika kiapo mkristo ANAAPA na mwislamu ANATHIBITISHA...
hii ni mwamujibu wa sheria ya viapo na matamko ya kisheria RE.2019.
Kwahyo kama bashiri ni muislam ni SAHIHI yeye kuthibitisha na si kuapa.
Team ukandamizaji na udiktetaHv kosa la huyu mtu Ni lipi mpk watu wamefirahi hvyo
Ni sahihi. Maneno yote mawili "NAAPA" na "NATHIBITISHA" yanakubalika.Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........
Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....
Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
Lakini Mhe Rais Samia ni mwislamu pia, na katika kiapo chake alisema "NAAPA".Bashiru ni muislamu, haapi