IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 545
Kakwepa laana ya kuapa. Maana hajiamini kuwa atafanya kweli.Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........
Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....
Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
Waislamu huwa hawaapi,in english waislamu hawatake oath bali wana affirmDr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........
Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....
Kwanini Dr. Bashiru aseme anathibitisha kwamba asiseme anaapa kwamba? Je kuthibitisha na kuapa ni neno moja? Au aliitega mamlaka ya Bunge?
Kosa lake ni: kwa nini anakuwa mwadilifu kutuzidi? Kwa nini hataki kupokea na kutoa rushwa? Watu wana kuja na mihela kedekede kumuhonga anakataa kwa nini - anafagilia umasikini! Kwa nini akipewa kazi anafanya kwa bidii na weledi mkubwa! Au anataka sisi tuonekane wavivu na hatujali? Kwa nini hajilimbikizii mali wakati amepewa fulsa?Hivi kosa la huyu mtu Ni lipi mpaka watu wamefurahi hivyo
Huyu jambazi kaua demokrasia ndo muasisi wa kununua wapinzani ,kuharibu uchaguzi ,na aibu atakayoipata Ni kua wale aliowanunua cdm ndo wanaenda kua maboss wake bungeni ,anauliza swali afu anajibiwa na lusinde,waitara,au GekulHivi kosa la huyu mtu Ni lipi mpaka watu wamefurahi hivyo
Jeshin hakuna dini mkuu utaratbu unao wekwa ni wote mtaufuataNashukuru kwa ufafanuzi huu ila najaribu kuangalia viongozi wengi wa dini zote wanatumia naapa kwamba, je ni kutokujua? Je jeshini napo wanaapa au wanathibitisha?
Pale wanapoapa kiapo kimoja mtu zaidi ya mmoja mbona sijawahi kusikia wakithibitisha? Rejea viapo vya kijeshi,
Mganga wa Mwigulu yuko vizuri. Unga unga aliomnyunyizia mama,si mchezoAna wenge [emoji1787]mganga wake kafeli
Serikalini kuna dini?Jeshini kuna dini?
Bashiru ni muislamu, haapi
Nakumbuka mama samia wakati anakula kiapo alitamka 'naapa kwamba' wakati yeye ni muislam hii imekaaje mkuu.Kawaida katika kiapo mkristo ANAAPA na mwislamu ANATHIBITISHA...
Hii ni mwamujibu wa sheria ya viapo na matamko ya kisheria RE.2019.
Kwahiyo kama Bashiru ni muislam ni SAHIHI yeye kuthibitisha na si kuapa.