Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Sasa wakifanya mdaharo usawa ndo unapatikana? Sisi wapiga kura ndo tutaamuamsipende kukariri maisha kuwa kila kitu ni porojo. Kile kilichokuridhisha wewe pengine kinamkwaza mwingine. Mwisho wa siku kinachohitajika ni usawa wa kuweza kujieleza. Kama vile Lissu alivyokuwa na haki katika kuhoji na kushutumu basi halkadhalika Magufuli ana haki ya kujibu kila hoja na shutma.