Echisute
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 531
- 524
Mkuu for your information hakuna kiumbe kinamuogopa Mungu kama shetani. Yaani ukivisoma vitabu vikuu viwili vya Mungu kwa maana ya Bible na Quran utagundua kuwa sisi binadamu hatumuogopi Mwenyezi Mungu kama ambavyo shetani anamuogopa.Inawezekana ikawa sikubaliani moja kwa moja na kila analolihubiri Tundu Lissu ila kwa kiasi kikubwa naheshimu sana uwezo wake wa kujenga hoja. Zaidi ya mara moja Tundu Lissu ameomba mdahalo na mgombea wa CCM ambae ndie rais lakini ombi hilo ni kama vile Bw. Magufuli hajalisikia, ila nina yakini kalisikia maana hoja nyingine za Lissu amejaribu kuzijibu kwenye kampeni zake....
Shetani anafahamu fika ukuu wa Mungu kwa sababu alikuwa karibu naye kabla ya kuhasi. Sina sababu ya kukutajia Mungu ni nani na shetani ni nani katika hao viumbe wawili unaotaka wafanye mdahalo!
Ahsante!