Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Sasa wakifanya mdaharo usawa ndo unapatikana? Sisi wapiga kura ndo tutaamuamsipende kukariri maisha kuwa kila kitu ni porojo. Kile kilichokuridhisha wewe pengine kinamkwaza mwingine. Mwisho wa siku kinachohitajika ni usawa wa kuweza kujieleza. Kama vile Lissu alivyokuwa na haki katika kuhoji na kushutumu basi halkadhalika Magufuli ana haki ya kujibu kila hoja na shutma.
Hawajui hawa mbumbumbu! Midaharo kitu gani bwana!Kwani hilo jambo lishawahi kuwepo katika nchi hii??
Unajuaje anaogopa wakati hiki kitu hakipo??
Jaman tupo Tanzania, sio kwa kina Trump..ambapo uchaguzi wao maamuzi yapo kwa senators na sio raia wa kawaida wa U.S.A
Watanzania hawatibiwi na mdahalo wala kula mdahalo wali kuvuka kwenye mdahalo au ata kutembea juu ya mdahalo.mwambieni lissu amtafute bwege mwenzie ambaye ana muda wakutosha kufanya huo upuuzii wa kupotezeana muda.Mgombea wa CCM hata kiswahili kinampa shida hivyo hawezi kufanya mdahalo
Sasa inakuwaje hiyo midahalo hutangazwa mubashara ili watu wote waone. kama ilidhamiriwa kuwa kwa ajili ya senators tu basi ingefanywa kwenye House of Senate ili kuwafikia wahusika tu.Kwani hilo jambo lishawahi kuwepo katika nchi hii??
Unajuaje anaogopa wakati hiki kitu hakipo??
Jaman tupo Tanzania, sio kwa kina Trump..ambapo uchaguzi wao maamuzi yapo kwa senators na sio raia wa kawaida wa U.S.A
Nimeona hiyo clip,kwa kweli ile tone yake inatuambia mambo hayapo sawa.Yule kamwe hawezi
Nileteni Gwajima
Nileteeeni Gwajima
Nileteeeeeeeni Gwajima
Nileeeeeteeeeni Gwajima
Nahisi kumuita mtu mbumbu kwa kigezo cha kutofautiana nae fikra tu hukufanya wewe kuwa mbumbu zaidi. Na hilo ni wazi linadhihirika kwa kutokuona umuhimu wa mdahalo.Hawajui hawa mbumbumbu! Midaharo kitu gani bwana!
Mnaona aibu maana mzee hajui hata kiswahili vizuriWatanzania hawatibiwi na mdahalo wala kula mdahalo wali kuvuka kwenye mdahalo au ata kutembea juu ya mdahalo.mwambieni lissu amtafute bwege mwenzie ambaye ana muda wakutosha kufanya huo upuuzii wa kupotezeana muda.
We inaonekana ata school wakati wa debate ulikuwa unakula konaIli iweje? Wakati wa porojo na maneno ulishaisha, hapa kazi tu
Wamekodi watu ili wawachoree vibonzo vya kuichafua Chadema wakati huo huo wanapiga mkwara masoud kipanya asifanye kazi yakeisije ikawa hana majibu ya uchafu uliopo. Hoja hujibiwa na hoja na si vibonzo.
Nimekuelewa vizuri sana, tatizo la kimfumo la utawala la kumfanya kiongozi kuhisi kila wakati yupo sahihi na kuona kuwa mdahalo ni sawa na kumshusha chini.Itakuwa ngumu kwa watawala wetu wa ki Africa ikiwemo Tanzania kukubali midahalo kirahisi. Watawala (sio viongozi) wa kiafrica wanapenda kusujudiwa, kauli zao wanataka ziwe sheria...
Siku hizi simsikii tena Magufuli akiongelea ndege na yale madaraja ya ubungo na tazaraInawezekana ikawa sikubaliani moja kwa moja na kila analolihubiri Tundu Lissu ila kwa kiasi kikubwa naheshimu sana uwezo wake wa kujenga hoja. Zaidi ya mara moja Tundu Lissu ameomba mdahalo na mgombea wa CCM ambae ndie rais lakini ombi hilo ni kama vile Bw. Magufuli hajalisikia, ila nina yakini kalisikia maana hoja nyingine za Lissu amejaribu kuzijibu kwenye kampeni zake...
Nileteeeni Gwajimaaaaaa"Nileteeni Gwajima" huku analia ni bora kakataa katakata kama ferry ya Ukerewe anaweza kumrushia mangumi mpenzi chetu Lissu the greatest
Common wisdom isnot commonKwani ipo kwenye ratiba ya kampeni iliyo tolewa na NEC?
Wala hujakosea, yale mlikuwa mnajadili sijui boys is better than girls yanawasaidia nini katika maisha? Nonsense tuWe inaonekana ata school wakati wa debate ulikuwa unakula kona
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Nileteeeni Gwajimaaaaaabaada ya kuiona clip ya nileteeni Gwajima iiiiiiiih
nikajua huyu dingi anahitaji kupumzika. ana shida
Mkuu una ile Video iliyowafanya watu wakimbie mkutanoNileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hamnionei hata huruma sauti hadi inakauka
Sent using Jamii Forums mobile app
ukichunguza sana utakuta kuna "pattern" inayoshabihiana aidha kihulka ama kiutendaj (aina ya utawala wao) baina ya wale wote wanaokataa/kukwepa midahalo na hao wanaokubali.Nimekuelewa vizuri sana, tatizo la kimfumo la utawala la kumfanya kiongozi kuhisi kila wakati yupo sahihi na kuona kuwa mdahalo ni sawa na kumshusha chini....