1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Mkuu tuliwaambia miaka mingi sana kuuwa Mbowe yupo upende wa TISS miaka yote tangu ujana wake alipo maliza Form six .Kuua mtu unajua wewe?kuteka mtu anaweza kuteka mbowe halafu akaachiwa tu na serikali? Mambo mengine muwe seriously
Mtei ni usalama
Makani ni usalama.
Mrema ni usalama ,
Zito kabwe ni usalama
Maalim Seifu ni usalama
Lipumba alikua mpaka mshauri wa Rais Mwinyi wa uchumi pale Ikulu .
Siku zote Wapinzani wa kweli wanaonekana kama Wahaini na mara nyingi wanapata nguvu ya wananchi lakini sio mfumo .Wakifanikiwa kuingia madarakani panatokea mabadliko makubwa sana.
Mbowe kuna makubaliano hawezi kuyakiuka wala kutoa siri zake . Mfumo ukimwambia jambo hawezi kupinga mana wataweza wakafuta hata chama chake ,ndio hofu yake .
Kwa akili yako unafikiri pale Bilkanas Mbowe aliwekwa ili auze shisha?
Ile Bilkanas ilikua ni mali ya serikali na ilikua inafanya kazi maalumu kwa ajili ya wageni na kupata taarifa za wahalifu wakubwa wa ndani na nje na Mbowe alikua ni moja ya waliowekwa kama wamiliki kwa sura ya nje . Michango ya madawa ilikua inapatikana pale na wahalifu wengine.
Magufuli aliona kuwa Mbowe hana msaada uliokusudiwa na akajaribu kumrejesha kwenye majukumu yake akawa anagoma kutokana na kutaka pesa alizokuwa anazipata kiholela . JPM akalkazia na kuamua kumpiga pini mana alijua kuwa anatumiwa na mafisadi kuhujumu mipango ya seikali. Ndani ya mifumo kuna pia upinzani wa chini kwa chini kutokana na maslahi hasa kwenye nchi za kidemokrasia zinazopokea utawala Tofauti na nchi za kidikteta ambapo kiongozi ni wa kudumu kama mbowe na Chadema na ukimpinga unaliwa kichwa.
Chacha ni mfano hai wa kazi ya kiharamia ya Mbowe na genge lake kufifisha nguvu ya umma kushika mamlaka .
Usilwamini mwanasiasa kama Mbise anayetoa matamko ya kuandamana halafu akiwekwa gerezani anapambana kutoka yeye mwenyewe na familia yake wengine wasubiri wanasheria wa kujitolea.