Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ukweli ni kua Mbingu na Ardhi ni vitu viwili tofauti .
Uovu na Wema ni vitu viwili tofauti .
UZALENDO na kutokua mzalendo ni vitu viwili tofauti.
Hata hivo Licha ya utofauti huo, ukweli ni kua Kila kimoja wapo nyuma yake kuna Wafuasi wengi .
Hamna kitu kinaitwa huyu yupo katikati, Hana makundi, HAKUNA KITU kama hiko.
Mambo kama haya yamefanya Akina Polepole, DKT Bashiru kupotezwa , Akina MPINA kuonekana wachawi n k , hii sio sahihi.
Kwakua siku zote Wenye haki ndio wanaopaswa kushindwa, Kila Upande na Makundi yake uachwe uendelee na kampeni zake , Wananchi ndio wataamuaga yupi anafaa.
Wajibu wa Dola ni kuhakikisha inapambana na watoa Rushwa , wanaotumia Hila za kijinai .
Kwa mfano , Wasaka Urais wajao , Kuna kundi la Mwigulu, Kundi la JM, Kundi kundi la Akina Magufuli , Hawa wote Kila Moja wao anahitaji Urais .
Ajabu ni kua makundi haya, yote hukatwa vichwa Kwa hoja ya makundi ,na mwisho analetwa MTU huyo Kila Mmoja anabakia kuhamaki.
Mimi binafsi, Kwa CCM ukimuweka Mwigulu, Makamba na Makonda, bila kujalisha nguvu ya Makundi yao, Ningemchagua MAKONDA Si Kwa sababu ni Msukuma au Timu Magufuli ,la hashaa , Jamaa ni mtendaji kwelikweli.
Duniani kote hata Republicans walikua wanamakundi yao, lkn mwisho Trump akashinda, kilichotokea ni makundi yote Kumuunga mkono.
Kwa Tanzania hali ni tofauti, Ukiwa na Uwezo, ukajitengenezea Wafuasi wako mnaofanana ki ideology ,tayari unaonekana usofaa , kitu ambacho sio sahihi !!
Mfano mwaka 2015, Ashukuriwe tu Uwepo wake HAYATI MAGUFULI ila Kwa Kumkata HAYATI LOWASSA , Sijui ni nani mwingine Bora Ndani ya CCM angewaokolea Jahazi!! ( Sababu kuu et ana Makundi , ni kweli alikua na makundi kwakua Pekeake tu asingeweza ila ukweli utabaki huu Kwa wakati huo, ukimuondoa Hayati Magufuli, Hayati Lowassa alikua MTU Bora kabisa)
Kama ambavyo Majizi na Mafisadi hujitengenezea makundi Yao yenye nguvu, Sio Dhambi Wazalendo na watu wasafi kua na kundi lao pia lenye nguvu.