Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania!
Maswali makubwa mawili yakikuwa!
1. Mkataba ni wa muda gani?
2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu?
Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji mpemba sijui ni kuli au msemaji wa Dp world?
Katika mahojiano yao hakuna aliyeweza kuhoji hata nusu ya kile watanzania wanahitaji kujua…
Inawezekana watangazaji wamegharamiwa safari kuwahoji DP world lakini wahusika wakagoma hivyo wakamtuma kuli kuwawakilisha!
Ni wazi serikali imepoteza tena hela kwani kazi waliyowatuma hawa watangazaji wameshindwa kuifanya zaidi watanzania wamewaona ni kichekesho kikubwa cha duni?
Huyu Mpemba ndio msemaji wa DP World?