Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Hii ni vita ya kiuchumi lakini serikali ya awamu ya sita itashinda tu. Wizi wa kutolipa kodi hapo bandarini hauna faida kwa wananchi wengi zaidi zaidi unawafaidisha matajiri wachache na marafiki zao waliokuwa viongozi wa awamu zilizopita.Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania!
Maswali makubwa mawili yakikuwa!
1. Mkataba ni wa muda gani?
2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu?
Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji mpemba sijui ni kuli au msemaji wa Dp world?
Katika mahojiano yao hakuna aliyeweza kuhoji hata nusu ya kile watanzania wanahitaji kujua…
Inawezekana watangazaji wamegharamiwa safari kuwahoji DP world lakini wahusika wakagoma hivyo wakamtuma kuli kuwawakilisha!
Ni wazi serikali imepoteza tena hela kwani kazi waliyowatuma hawa watangazaji wameshindwa kuifanya zaidi watanzania wamewaona ni kichekesho kikubwa cha duni?
Huyu Mpemba ndio msemaji wa DP World?
View attachment 2666411
GSM aliikimbia awamu ya tano, akaja kurudi alipoingia SSH ikulu, huyu hawezi kukubali kuona mteremko wake pale TPA ukienda kupotezwa na mifumo mipya ya uendeshaji.
Ni vita ya akilini zaidi lakini serikali itashinda tu.