Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana... Facilitator na burden bearer anakuwa nani??Tena ni vizuri kabisa kufanya hivyo. Ili mjiridhishe.
Kijana, watu duniani huko, wanafanya semina, tena za nchi za nje na mnapoishi.
AlhamduliLlah wakati nafanya kazi nchi za watu huko, nimeshasafirishwa nchi nyingi sana na tunaofanya nao biashara, kuna safari za aina nyingi sana. Mfano wabunge wetu wamepelekwa wakajionee wanavyofanya shughuli zao Dubai, wengine wamepelekwa India wakaone wengine huko wnav7ofanya kazi zao ili wote hao walete data zije kuchambuliwa.
Dunia ya leo kama hauna "information hauwezi kufanya maamuzi yenye maana. Ndiyo maana unaona teknolojia ya information ndiyo teknolijia inayokuwa na kubadilika kwa haraka zaidi duniani kulkiko teknolojai yoyote ile.
Na siku hizi information zipo kila namna, zipo za kweli zipo za uomgo, inabidi watu wasafiri kufanya tafiiti, ni muhimu sana tena sana.
Hamna swali umeuliza zaidi ya kutoa sifa kwa hao wavaa kobazi.Hujajibu hata swali moja nililokuuliza, hiyo tu imeshakuweka unapostahiki kuwepo.
Hamna swali umeuliza zaidi ya kutoa sifa kwa hao wavaa kobazi.
Tenda inatakiwa itangazwe na apewe mwenye sifa inayostahiki.
Sio mtu anaenda tu huko kula tende anarudi kila kitu kaweka rehani.
Mnacho jali ni matumbo yenu na ndugu zenu tuuMnamuonea wivu Kitenge.
Ma shaa Allah, kakwea dream liner, kapiga shopping Dubai, karudi na kibahasha kizuri cha Dirhams. Pengine folding screen ya 100" ipo kwwenye container na kigari cha kwendwa bandarini na kurudi ofisini akiwa Dar.
Ma shaa Allah, kishatengeneza na bonge la connection hapo, wapwa zake huku hawakosi kazi DP World Container Terminal.
Waarabu wakarimu sana ukishajuana nao, usifanye mchezo.
Kariakoo tunasema "hapo Kitenge kashinda game".
Naiwazaga akili yako sijawahi kupata majibuNimerudia swali, tena sasa nimeli bold ili iwe wepesi kuliona kwenyye kimchina chako.
Nakusikitua sana kwa ujinga uliokujaa. Elewa kuwa ujinga siyo tusi, ni neno la kukujulisha kuwa kuna mambo huyaelewi na inabidi ujifunze.
Hivi wewe una ujuzi upi wabiashara za kibepari?
Tafadhali, bofya chini hapo ukajichotee dhahabu nyeusi 👇🏾
Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
www.jamiiforums.com![]()
Pedagogic at Heart
Wewe ndo unatakiwa ukajifunze hayo mambo,Nimerudia swali, tena sasa nimeli bold ili iwe wepesi kuliona kwenyye kimchina chako.
Nakusikitua sana kwa ujinga uliokujaa. Elewa kuwa ujinga siyo tusi, ni neno la kukujulisha kuwa kuna mambo huyaelewi na inabidi ujifunze.
Hivi wewe una ujuzi upi wabiashara za kibepari?
Tafadhali, bofya chini hapo ukajichotee dhahabu nyeusi 👇🏾
Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
www.jamiiforums.com![]()
Pedagogic at Heart
Ni jambo la msingi sana unalohoji hapa, lakini huwezi kupata jibu.Hili sakata ....limekuwa nguli kweli kweli....limekaa kidini pia...nmeshangaa sehem iringa Muslims wanahamasisha ujio wa DP WORLD...n nini kipo nyuma ya pazia?
Umelipwa sh ngapi?Si mnaona hapo, mfanyabiashara huyo, hana longolongo. Dubai Oyee, tena huyo hao ni ami zake kabisa.
DP World mambo kwa Dirham, siyo Shillingi.Umelipwa sh ngapi?
Kila siku inakuwa ni kupitisha makontena ya nguruwe tu 😂😂😂