Kwanini DP World wamewakimbia watangazaji? Mpemba huyu ni msemaji wa DP? Hawa waandishi warudishe hela za watu?

Ooh, kumbe ndiyo huyo? Sasa mbona ulikuwa unakataa kijana?

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

Mtu wenyewe una akili ya samaki - kwa sauti ya Aman Karume.
Kwa hiyo huyo mpemba ndio aliwawakilisha DP world? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Safi sana... Facilitator na burden bearer anakuwa nani??
 
Hujajibu hata swali moja nililokuuliza, hiyo tu imeshakuweka unapostahiki kuwepo.
Hamna swali umeuliza zaidi ya kutoa sifa kwa hao wavaa kobazi.
Tenda inatakiwa itangazwe na apewe mwenye sifa inayostahiki.
Sio mtu anaenda tu huko kula tende anarudi kila kitu kaweka rehani.
 
Hamna swali umeuliza zaidi ya kutoa sifa kwa hao wavaa kobazi.
Tenda inatakiwa itangazwe na apewe mwenye sifa inayostahiki.
Sio mtu anaenda tu huko kula tende anarudi kila kitu kaweka rehani.

Nimerudia swali, tena sasa nimeli bold ili iwe wepesi kuliona kwenyye kimchina chako.

Nakusikitua sana kwa ujinga uliokujaa. Elewa kuwa ujinga siyo tusi, ni neno la kukujulisha kuwa kuna mambo huyaelewi na inabidi ujifunze.

Hivi wewe una ujuzi upi wabiashara za kibepari?
Tafadhali, bofya chini hapo ukajichotee dhahabu nyeusi πŸ‘‡πŸΎ

Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
www.jamiiforums.com

Pedagogic at Heart
 
Mnacho jali ni matumbo yenu na ndugu zenu tuu
 
Naiwazaga akili yako sijawahi kupata majibu
 
Wewe ndo unatakiwa ukajifunze hayo mambo,
Huyo hawezi kunifundisha mimi au kuniimpress mimi wakati nimemfundisha na sijatangaza.
Unaongea nini
 
Hili sakata ....limekuwa nguli kweli kweli....limekaa kidini pia...nmeshangaa sehem iringa Muslims wanahamasisha ujio wa DP WORLD...n nini kipo nyuma ya pazia?
Ni jambo la msingi sana unalohoji hapa, lakini huwezi kupata jibu.

Mbaya zaidi ni wakati viongozi wa nchi wenyewe wanapoyafanya haya mambo yaonekane kama msingi wake ni kuwagawa waTanzania katika makundi hayo.
Hakuna kiongozi wa kukemea hayo unayoyaona huko mitaani, na badala yake inakuwa kama hao ndio wanaounga juhudi za serikali za kutugawa kwenye makundi.

Hii ni mbaya, hatari sana kwa taifa letu.
 
Ni muda mfupi tu umebaki madalali wote wa DP World kuanza kutajana wazi wazi na kusalitiana kwa hali ambayo haijawahi kutokea kabisa katika Historia ya Nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…