Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida wanaodunduliza fedha za hapa na pale au kupata ufadhili wakiwa kama chawa kutembelea mji huu??

Hapo bongo naona karibia kila mtu maarufu Dar es Salaam aliyejipatia pesa kidogo hakosi picha za Dubai katika mitandao yake ya kijamii.
Kuna kiongozi wetu mmoja mkubwa hapa nchini alisema Dubai ni nchi
 
Dibai ina majengo makali ambayo huwezi yapata mahara popote duniani tena marefu na hayadondoki dondoki kama kariakoo
 
Back
Top Bottom