Miaka hiyo wewe ulikuwa bado unanyonyaNimekuwa nikimsikia mara kwa mara akijigamba hivyo kwenye media, na sielewi anamaanisha nini maana maandiko mbalimbali ya historia ya bongofleva hayatambui hilo. Kama anamaanisha 'kuimba' mbona kina Unique Sisters, Mr Paul, Jide, n.k walikuwepo kabla yake?!
USYK amemchapa mara ya pili mfululizo GYPSY KINGNimekuwa nikimsikia mara kwa mara akijigamba hivyo kwenye media, na sielewi anamaanisha nini maana maandiko mbalimbali ya historia ya bongofleva hayatambui hilo. Kama anamaanisha 'kuimba' mbona kina Unique Sisters, Mr Paul, Jide, n.k walikuwepo kabla yake?!
HahahahahaAnasemea ukoo wake, ukoo wa Sykes yeye ndio mtu wa kwanza kuanzisha bongo fleva ila sio industry nzima ya bongo fleva.
Nadhani alitoboa na " Salome juu ya kaburi lako naliaa......." Mwaka 2002 kama sikosei. Kwa umri wangu najua wasanii wote wa Bongoflava miaka waliotoboa na nyimbo walizohit nazo...Nitajie wimbo wa Dully alioimba 1998 namimi nikutajie wa msanii mwingine
".....hunifahamu sikufahamu mama, iweje Leo unipakazie...."Nadhani alitoboa na " Salome juu ya kaburi lako naliaa......." Mwaka 2002 kama sikosei. Kwa umri wangu najua wasanii wote wa Bongoflava miaka waliotoboa na nyimbo walizohit nazo...
Zamani kulikua na distinction kabisa ya Genre, R&B, hip hop, bongo flavor etc.Nimekuwa nikimsikia mara kwa mara akijigamba hivyo kwenye media, na sielewi anamaanisha nini maana maandiko mbalimbali ya historia ya bongofleva hayatambui hilo. Kama anamaanisha 'kuimba' mbona kina Unique Sisters, Mr Paul, Jide, n.k walikuwepo kabla yake?!
Alikua maarufu kabla ya Salome, alikua na Nyimbo yake ambayo leo vijana wangeita nyimbo ya mashangazi, inaitwa Nyambizi, pia alikua na Julieta ya 1999Nadhani alitoboa na " Salome juu ya kaburi lako naliaa......." Mwaka 2002 kama sikosei. Kwa umri wangu najua wasanii wote wa Bongoflava miaka waliotoboa na nyimbo walizohit nazo...
Mtoto wake mkubwa Ana miaka 21Dully Sykes ana utoto bado pamoja na kwamba he is above 40 yo
kabla hajaja lil sama a.k.a mr.blue, dully ndiye alikuwa dogo ila hakuwa muanzilishi wa bonge fleva. Makundi kama kwanza unity, soggy dog hunter, balozi dullah soul, 2proud a.k.a mr. 2, orodha ni ndefu kabla hajaja dully sykes in the late years 1990s hao ndio wanaweza kusema ni waanzilishi wa bongo fleva. Bongo fleva ya mwanzo ilikuwa ni miziki ya kimarekani ya kufokafoka, rap na hip hop za kina 2pac, biggie, naught by nature, ice cube, snoop doggy dog, na wote wale waliokuwa wanaimba hard coreKiufupi zamani walikuwa wanachana na huyo dully ndo alianzisha kuimba bongo fleva miaka 1998 hv had 2000 apo huyo dully ni wa kitambo we unamchukuliaje.