Kwanini Dully Sykes anasema yeye ndiye Mwanzilishi wa Bongofleva?

Kwanini Dully Sykes anasema yeye ndiye Mwanzilishi wa Bongofleva?

Hakurap Ile Inaitwa Mwanasesere Sio Rap sio Hiphop wala sio R&B
Hiyo ni aina Ya Mziki alioanzisha Dully walikuwa wanaiita Jina la Utani Mwanasesere
Alirap bwana, kwenye chorus ndio aliimba. Halafu Nyambizi umetoka kwenye 2001 hivi nakumbuka nilikuwa darasa la7 wala sio 98[emoji16][emoji16]
 
Hapana Nyambizi Imetoka 98 na Julieta Imetoka 1999..
Duh ulikuwa Unamaliza Darsa la Saba?

Nilikuwa nina mwaka Mmoja Nimemaliza Intern Nasubiria Ajira Serikalini..
Bahati mbaya mtandaoni sijaona sehemu inapoonyesha hit yake ya kwanza katoa mwaka gani ila inaonesha Album yake ya kwanza iliyotoka 2002. Japo hata kama ni kweli Nyambizi imetoka 98, binafsi mule sioni kama kuna Bongofleva anayoizungumzia, naiona rap nyepesi iliyochombezwa na chorus ya kuimba
 
Dully Sykes anajiita mzee wa misifa sishangai kujisifia kwa hili.
Watu kama Dataz wameanza kuimba kwenye concerts na matamasha ya Dar tangu 98/99 lakini hatuoni wakitajwa
 
Bahati mbaya mtandaoni sijaona sehemu inapoonyesha hit yake ya kwanza katoa mwaka gani ila inaonesha Album yake ya kwanza iliyotoka 2002. Japo hata kama ni kweli Nyambizi imetoka 98, binafsi mule sioni kama kuna Bongofleva anayoizungumzia, naiona rap nyepesi iliyochombezwa na chorus ya kuimba
Mzee Unaangalia Mtandaoni Mimi nakwmbia kwa sababu nilikuwepo na Nina historia na hiyo nyimbo..

Hiyo haikuitwa Rap iliitwa mwanasesere
 
Mzee Unaangalia Mtandaoni Mimi nakwmbia kwa sababu nilikuwepo na Nina historia na hiyo nyimbo..

Hiyo haikuitwa Rap iliitwa mwanasesere
Mwanasesere ni jina tu kutokana na aina ya rap kuwa tofauti wenzie ila sio kwamba ile ni bongofleva, ni Sawa na kina GangweMobb walivyokuwa categorized kwamba wanafanya Rap Katuni, but still ni rap
 
Dully Sykes siye muanzilishi wa bongo fleva, kiasili kabisa muanzilishi wa bongo fleva ni salehe jabiri, alitoa album ya kwanza yenye mahadhi ya kibongo bongo, mwishoni mwa miaka ya 80 kuja 90. Album iliitwa Swahili rap,

Muziki wa kwanza wenye mahadhi ya kibongo fleva kusikika redioni, NI ngoma ya Two proud inayoitwa NI MIMI, kiitikio kipo hivi "nipo KWENYE maikrofoni, hata mnipe Nini sitamani sioni, NI Mimi"

Mtu wa kwanza kulianzisha jina bongo fleva NI SANDE SINGO SHOMALI. Ktk kipindi Cha dj show redio one, hili neno walilitamka dj Sande shomali na Sebastian maganga, baada ya kuipiga ngoma Fulani ya UNIQUE SISTERS.

Ktk kujadiliana kwao, huu mziki wetu tuuitaje? Ndipo likaja jina bongoooo fleva. Kipindi hicho dully NI stage show, na haswa KWENYE ngoma za asili (kibisa) smtyme alikuwa ubavuni kwa baba yake, MZEE EBBY SYKES wakati akipiga gitaa KWENYE bendi yake

Hawa NI baadhi ya wasanii wachache waliyoanzisha bongo fleva kabla ya ABDULLY, nao NI kama CHEGE, SOS B, WALUMENDAGO, N2P, NWA, WWA, KALAPINA, UNIQUE SISTERS, MR TWO NA WENGINE KADHAA
 
Mwanasesere ni jina tu kutokana na aina ya rap kuwa tofauti wenzie ila sio kwamba ile ni bongofleva, ni Sawa na kina GangweMobb walivyokuwa categorized kwamba wanafanya Rap Katuni, but still ni rapView attachment 3188594
Sijui Kama Umenielewa Nilichosema..
Ile Rap ilikuwa categorized kama Mwanasesere na Ndicho nilichosema..
Sijui umenielewa Rap Sio HipHip na Hiphop Ni Rap..
Kuna Vitu Vijana Kijana wangu unahitaji Kujua Sana..

Alichokuwa anafanya Dully sio Hiphop na Ndo maana Hakuna Mahali aliwahi kuwa Categorized kama Mwanahiphop kwa wakati wowote ule..

Hakukuwa na Genre ya Bongoflava Kipindi hicho Kulikuwa na R&B ambazo walikuwa wakiimba Kina Stara, Jay dee na Kina Mr Paul..

Na Genre zilizouwepo zilikuwa ni flava za Nje na hakukuwa na Flava ya Kwetu kama Bongo ns Kadhalika
 
Nyimbo ya juzi hiyo!

Hapo tayari alishatoa ladies free!

Alishatoa nyimbo ya Hi!

Aliahatoa ile nyimbo aliyotoa na mtoto wa kiarabu.

Alishatoa Salome! n.k

Alishatoa nyambizi!

Alishaimba na wale wanawake wawili sijui raha ya tunda.
Asante mkuu Kwa kunikumbusha.
 
Back
Top Bottom