Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Enzi za ujana hizo...Julietha
Nakupenda kwa dhati
Lakini maisha yangu sijuii ..(nimesahau mistari)
Naapia kwa Mola haki ya Mungu sikuachi!
Ebhanaa eeh! Kitambo Mzee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi za ujana hizo...Julietha
Nakupenda kwa dhati
Lakini maisha yangu sijuii ..(nimesahau mistari)
Naapia kwa Mola haki ya Mungu sikuachi!
Ebhanaa eeh! Kitambo Mzee!
Hii Julietha ndo aliyotoka nayo Dully baadae zikafuata nyambizi na nyingine nyiiiiingiJulietha
Nakupenda kwa dhati
Lakini maisha yangu sijuii ..(nimesahau mistari)
Naapia kwa Mola haki ya Mungu sikuachi!
Ebhanaa eeh! Kitambo Mzee!
Ni kweli zamani walikuwa wanafoka foka yaani wanaimba kihuni huni..Nimekuwa nikimsikia mara kwa mara akijigamba hivyo kwenye media, na sielewi anamaanisha nini maana maandiko mbalimbali ya historia ya bongofleva hayatambui hilo. Kama anamaanisha 'kuimba' mbona kina Unique Sisters, Mr Paul, Jide, n.k walikuwepo kabla yake?!
Julietha ilitangulia kabla ya salome na ilihit kuliko salomeNadhani alitoboa na " Salome juu ya kaburi lako naliaa......." Mwaka 2002 kama sikosei. Kwa umri wangu najua wasanii wote wa Bongoflava miaka waliotoboa na nyimbo walizohit nazo...
Unazingua wewe dully katoka na Salome..Nadhani alitoboa na " Salome juu ya kaburi lako naliaa......." Mwaka 2002 kama sikosei. Kwa umri wangu najua wasanii wote wa Bongoflava miaka waliotoboa na nyimbo walizohit nazo...
Ila mwamba alikuwa akitoa hit songs sana [emoji2][emoji2]Nyimbo ya juzi hiyo!
Hapo tayari alishatoa ladies free!
Alishatoa nyimbo ya Hi!
Aliahatoa ile nyimbo aliyotoa na mtoto wa kiarabu.
Alishatoa Salome! n.k
Alishatoa nyambizi!
Alishaimba na wale wanawake wawili sijui raha ya tunda.