thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Bongo flavour Ile ambayo ilianza kushika Sana usukani 2004 ya kubana pua ilianza na dully, wakina unique sister, lady jay Dee na Mr Paul walikuwa wanaimba pure R&B
Mwanafalsafa: Angeimba nini Sister P, asingekuwepo Zay B?
Mr II: Na ingekuwa wapi R&B asingekuwepo Jay D ?
x2
Huu ni mstari WA ungekuwa VP ya mwana fa kuhusu JD, na WA kuhusu dully huu hapa
Ingekuwa vipi Dully Sykes angeimba Hardcore?
Mashairi kama Jay Mo?
Neno wanasesere n'na imani lisingekuwepo.
Mauzo ya Rap ya bongo yangefika Platinum tano.
Huu mstari unaonyesha jinsi alivyokuwa anarap ilikuwa ni tofauti
Na pia baadhi ya wasanii WA hip hop husema bongo flavour sio hip hop mfano kikosi cha mizinga na Nash MC. Kwa kifupi dully alikuja kufanya modifications Kwa kuleta genre ya sasa inayoonekana kama bongofleva za kina mb dog, matonya, Ali kiba, etc
Ndio maana wimbo kama Julietta na historia ya kweli ziko tofauti,