Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..!
Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..?

Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea kupata nao watotot bado wimbo ni Gaza .

Je kwa nini dunia haitaki kabisa kujihusisha wala kutafuta suluhu ya Gaza katika mgogoro wa Palestinians na Israel?

Tangu nimezaliwa juzi tu ndio nimesikia Waislam wa Kenya wakiandamana kupinga kile kinachotokea Gaza ,je kwa nini wengine hawapazi sauti wala kutoa pole ?
 
hivi nikirudi kwenye maandiko ndio wale kizazi cha baba wa imani ismaili na isaka? kuna nini hasa wanacho gombania ni lile eneo la msikiti? au kuna jambo gani mi naona mabomu tu nifahamisheni chanzo cha hawa kubondana kuna nn mbona mataifa makubwa wapo kimya? basi hata Africa tupo kimya whats happening?
 
Miaka yote hiyo ina maana hawajapata mademu wa kumix race?
Parestina wanaonewa Sana af anakuja mmasai mmoja anawasifia Israel kuwa ni taifa teule... parestina hawapgan na Israel Bali wanaandamana, wanaopgana na Israel ni gammas na sio parestina
Screenshot_20210514-184441.png
hilo enoleo lote kilikuwa la parestina mwaka 1919 now wamekuwa wakimbizi , Hawa wapuuzi Bora wangeletwa Uganda tu Kama ilivokuwa imepangwa
 
Parestina wanaonewa Sana af anakuja mmasai mmoja anawasifia Israel kuwa ni taifa teule... parestina hawapgan na Israel Bali wanaandamana, wanaopgana na Israel ni gammas na sio parestinaView attachment 1786087hilo enoleo lote kilikuwa la parestina mwaka 1919 now wamekuwa wakimbizi , Hawa wapuuzi Bora wangeletwa Uganda tu Kama ilivokuwa imepangwa
Ss kwa nn dunia ipo kimya wanogopwa au kuna masirahi ya watu?
 
hivi nikirudi kwenye maandiko ndio wale kizazi cha baba wa imani ismaili na isaka? kuna nini hasa wanacho gombania ni lile eneo la msikiti? au kuna jambo gani mi naona mabomu tu nifahamisheni chanzo cha hawa kubondana kuna nn mbona mataifa makubwa wapo kimya? basi hata Africa tupo kimya whats happening?
Hadi maeneo ambayo kuna makazi mchanganyiko ya waisraeli na wapalestina nako kumenuka, wanaita communal violence....watu wanaoishi mtaa mmoja wanapigana kisa huyu ni muisraeli na mwingine ni mpalestina.
 
Gaza ni eneo dogo sn lakini Lina wakazi takriban milioni mbili..hakuna airport hakuna,usafiri wa kuunganisha miji mingine,umeme kuwaka saa mbili Tu Kwa siku ni Jambo la kawaida sn

Jamaa Wana maisha magumu sn,jumuiya ya kimataifa sijui Kwa nn umeamua kuwapa kisogo
 
Parestina wanaonewa Sana af anakuja mmasai mmoja anawasifia Israel kuwa ni taifa teule... parestina hawapgan na Israel Bali wanaandamana, wanaopgana na Israel ni gammas na sio parestinaView attachment 1786087hilo enoleo lote kilikuwa la parestina mwaka 1919 now wamekuwa wakimbizi , Hawa wapuuzi Bora wangeletwa Uganda tu Kama ilivokuwa imepangwa
Yah hao Hammas ni wapalestina na waungwa mkono na serikal ya palestina na nchi zote za kiarabu ili kum-defeat mu Israel
 
Habari wadau..!
Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..?

Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea kupata nao watotot bado wimbo ni Gaza .

Je kwa nini dunia haitaki kabisa kujihusisha wala kutafuta suluhu ya Gaza katika mgogoro wa Palestinians na Israel?

Tangu nimezaliwa juzi tu ndio nimesikia Waislam wa Kenya wakiandamana kupinga kile kinachotokea Gaza ,je kwa nini wengine hawapazi sauti wala kutoa pole ?
sababu siku hizi hakuna maadili, watu wanaangalia maslahi kuliko morals,

si gaza tu, China kambi kibao, india kila siku watu wenye dini wanauliwa, maynamar huko, west sahara, iraq, ulaya mashariki kina armenia na wengineo.

Marekani anakemea china sababu ana maslahi nako, ila gaza hakemei sababu hakuna atakacho gain akiwa against Na israeli.

siku wakigundua kucha za wapalestina zina Thamani ya Almasi kila mtu ataingiza majeshi kuwatetea.
 
Ss kwa nn dunia ipo kimya wanogopwa au kuna masirahi ya watu?
Kale ka nchi (Israel) ni kadogo lakini kanapeleka misaada ya kila aina sehemu nyingi duniani, sana sana hapa kwetu Afrika, ndo maana akilianzisha na ndugu yake huko kwao, kila mtu kimya. Hali hii imeletwa na mazoea ya kupewa vya bure! 🤣 🤣 🤣
 
hivi nikirudi kwenye maandiko ndio wale kizazi cha baba wa imani ismaili na isaka? kuna nini hasa wanacho gombania ni lile eneo la msikiti? au kuna jambo gani mi naona mabomu tu nifahamisheni chanzo cha hawa kubondana kuna nn mbona mataifa makubwa wapo kimya? basi hata Africa tupo kimya whats happening?
eneo la msikiti hata hakuna fujo sana mostly ni watalii, na hata kukiwa na fujo ni mabomu ya machozi hutumika.

huko Gaza ndio wanakouliwa, kifupi mkuu ma zionist wanaamini dunia nzima ni mifugo, si wapalestina tu, watu weusi, wachina, waarabu na wengineo kwao ni second citizen, wao peke yao ndio wanastahili kutawala dunia.
 
Hadi maeneo ambayo kuna makazi mchanganyiko ya waisraeli na wapalestina nako kumenuka, wanaita communal violence....watu wanaoishi mtaa mmoja wanapigana kisa huyu ni muisraeli na mwingine ni mpalestina.
Saa zote mpalestina ndiye wa kwanza kurusha jiwe. Hivi unamtupia jiwe jirani yako alafu akikurushia kombora unalalamki. Vipi wale?
 
Kale ka nchi (Israel) ni kadogo lakini kanapeleka misaada ya kila aina sehemu nyingi duniani, sana sana hapa kwetu Afrika, ndo maana akilianzisha na ndugu yake huko kwao, kila mtu kimya. Hali hii imeletwa na mazoea ya kupewa vya bure! 🤣 🤣 🤣
kanapeleka ama kanaletewa? israel bila misaada hawezi kuishi pale, anasaidiwa kila kitu na US na UK na mataifa ya ulaya magharibi.
 
Back
Top Bottom