Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

Wanasytaili kuwa magaidi , hta mm ningekuwa gaidi, just imagine mtu unakuwa mkimbizi kwenye ardhi yako, hebu Google Raman ya parestina Kama ipo , wanasytaili kumind , af kinachokera watu wanamshabikia israel kwa kuamini ni mteule wa dunia ,ok kwakuwa yeye ni mteule Basi acha as tutende dhambi kwani umeandikiwa wao ni wateule na lazma wauone ufalne wa mbingu na ss hata tufanyaje lazma tuingie moton, Israel hii sio ile ya ibrahimu hii inavibaka tupu sio ile , kwa kuweka mahaba ya dini pembeni Israel gaidir nambar moja duniani,, kinachoniuma mataifa ya kiarabu yamejitoa Akat wao ndio walimshawishi parestina kumgawia ardhi muisrael Tena kwa moyo mkunjyfu, waacheni waparestina Vita owe ni maisha yao ni haki yao kupmbana, hao Israel wangeletwa Uganda Kama ilivokuwa imepangwa usikute hata as tusingekuwa tumejazana upande mmoja ,, uskute wangesema tz Kenya au Rwanda ndio nch yao ya ahadi fucken
Jerusalem iko mashariki ya Kati hawawezi kuja Africa wamerudi kwenye ardhi yao mama
 
Jerusalem iko mashariki ya Kati hawawezi kuja Africa wamerudi kwenye ardhi yao mama
Hata hao parestina ni kwao hapo, ndo maana nasema ni tatzo Sana kutumia hstry ,hata hao 0arestna history inawabeba Sana ,ilikuwa wake Uganda na wakipewa ardhi ma parestina kiataarab, dunia ya Sasa imestaarabika Sana , vp Leo kutokee fujo kuhusu Uganda na tz kisa kagera, parestina wanastairikupigana na wanajua kuwa wanapgwa ,na lazma wapgane kwani hata wakiacha watapigwa ko wameamua wasife kikindoo ,ni wazarendo Sana, yaan Kama parestina itapotea Basi kutakuwa na vikosi vya ugaidi Zaid maana hawatakuwa na ardhi Tena, acha wapigane tu , nawaunga mkono Kwan hawana kwakwenda , Ila nyie mnasema et israel pale ni taifa mama, Hitler hakuwa sahihi kuwachinja Jews aliwapunguza Sana mil 6 , wao walihurumiwa kwa ukimbiz lakn wao hawahurumii wenzao, hata mm ningevaa bom Kwan hakuna namna ya kuendelea kuish
 
Ukitaka kukifanya chochote ni cha kidini ni itikadi zako tu. Lebanon ni nchi ya kiarabu Ila waarabu wake ni Wakristo na ndio nchi pekee duniani yenye waarabu ambao ni Wakristo pia kuna waislamu pia Ila mbona wao wanaishi kwa Amani. Kuna wakati Syria walitaka kuwavamia sababu ya kugombania eneo. Utasema nayo ni udini?
Hii vita ni ya kidini kwasbabu Israel na hao palestina walishapigana sana na kuwekeana mipaka kwenye maandiko ukifuatilia. tambo za Goliath kwa Daudi kwamba mkitupiga mtatutawala miaka yote na tukiwapiga tutawatawala miaka yote. Matokeo yake Goliath akauwawa. Kwahy hao palestina hawana chao hapo wanapoteza mda. Siasa imekuja kuingia badae sana kweny hii vita
 
Acha Israel aendelee kugawa dozi
 
Waacheni wafu wawazike wafu wao. Wameaoma hicho kifungu cha biblia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata hao parestina ni kwao hapo, ndo maana nasema ni tatzo Sana kutumia hstry ,hata hao 0arestna history inawabeba Sana ,ilikuwa wake Uganda na wakipewa ardhi ma parestina kiataarab, dunia ya Sasa imestaarabika Sana , vp Leo kutokee fujo kuhusu Uganda na tz kisa kagera, parestina wanastairikupigana na wanajua kuwa wanapgwa ,na lazma wapgane kwani hata wakiacha watapigwa ko wameamua wasife kikindoo ,ni wazarendo Sana, yaan Kama parestina itapotea Basi kutakuwa na vikosi vya ugaidi Zaid maana hawatakuwa na ardhi Tena, acha wapigane tu , nawaunga mkono Kwan hawana kwakwenda , Ila nyie mnasema et israel pale ni taifa mama, Hitler hakuwa sahihi kuwachinja Jews aliwapunguza Sana mil 6 , wao walihurumiwa kwa ukimbiz lakn wao hawahurumii wenzao, hata mm ningevaa bom Kwan hakuna namna ya kuendelea kuish
Uganda watapigwa tu na Tz kwasbab wanang'ang'ania ardhi isyo yao.
Na ndo kinachowakuta Palestina kwasbb wao ni kama wakimbiz tu japo wameish hapo kwa miaka mingi.
Ni sawa na Tz Kigoma Raia wa burundi wapo weng wamezaliana mpak kusoma Tz alaf waanze kudai uhur
 
Na hata ungejilipua usingebadilisha chochote. Israel wanaendelea kugawa dozi pale wanapochokozwa. Nchi za kiarabu ziko kimya maana Mwanaume (Israel) aliwakalisha wote ndani ya siku sita tu wakaomba poo. Na hapo walimchokoza kuhusu Palestine. Waarabu ni wanafki kama wangekuwa na mapenzi ya kweli kwa ndugu zao Palestine wangewapa uraia Ila na wao ni wabinafsi kama binadamu wengine
 
Hii vita haiwezi kuisha kwasbabu ni ya Kidini kila mtu anavutia kwake na ni vita ya kihistoria kabla hata ya USA kuanza kuingilia
mkuu kabla ya hapo jews kibao waliokimbia ulaya walikuwa wanaishi palestina, wapalestina hawana tabu na ma jews, ila hawa mazionist si watu wa dini, na kama wana dini basi ni ya shetani.

wapo jews wa kawaida wengi israel ila hawana nguvu na decision za kufanya tofauti na hawa zionist.
hebu angalia hivi wanavyofanya niambie kwako unaona ni dini? nitajaribu kuweka source za kimagharibi zaidi

1. israel sasa hivi ndio paradise ya pedopholia, yaani watu wanaofanya mapenzi na watoto ambao hawaja baleghe, wanashtakiwa nchi nyengine wao wanawapokea na kuwakinga

2.wana blackmail viongozi na watu makubwa duniani kingono, wana makampuni ya kusafirisha watoto na wanawake kufanya kazi za umalaya, viongozi wao wanabaka etc

3. rabbi mkuu, kiongozi wa dini wa israel anawarefer watu weusi wa marekani kama nyani wazi wazi tena

4.wanawake wa ki africa ama wachina wanahasiwa wasizae ama kuingia mikataba wasishiriki tendo la ndoa wakiwa kule,

5.israel wanataka kuja africa ili tu wa Africa wasiende israel msemo ambao ulimaanisha hawataki watu weusi waende kwao

6. baadhi ya watu wanaowaua wanaiba viungo vya mwili

7. walikuwa wanalipua sinagogi za nchi za kiarabu ili jews wakimbie waende israel, wapo tayari kuuwa wenzao sababu ya politics

8.bilionea wao ndie anaehusika na congo, kuiba madini, alifukuzwa USA

9.Rabbi Ovadia aliwahi sema hivi
“There was a tsunami (Hurricane Katrina) and there are terrible natural disasters, because there isn’t enough Torah study…Black people reside there [New Orleans]. Blacks will study the Torah? [God said] let’s bring a tsunami and drown them...“Hundreds of thousands remained homeless. Tens of thousands have been killed. All of this because they have no God.”

10. mlipuko wa juzi juzi hapa beirut uliotokea bandarini na kuua mamia ya watu kiongozi wao wa kisiasa alipost fb kusherehekea

kuna maelfu ya crime wanafanya hawa jamaa na kama unaamini ni vita ya kidini unahitaji kuwajua zaidi.
 
CHANZO CHA MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA

Jina Palestina linatokana na neno la Kilatini Palaestina na neno la Kigiriki Palaeistine. Maneno haya mawili yanatokana na neno la Kiebrania Pelesheth. Biblia inatumia neno Pelesheth linatafsiriwa Filistia kwa Kiswahili kwenye Biblia.

Linarejelea eneo la Pwani ya Mediterenia lililokaliwa na Wafilisti.

Katika Biblia majina Palestina, Kanaani, Israeli, Nchi ya Ahadi yana maana moja. Wayahudi walipotoka Misri Mungu aliwaahidi kuwapa Kanaani waimiliki. Wakati huo ilikuwa ikikaliwa na Wafilisti. Abrahamu, Isaka na Yakobo waliishi Kanaani/Palestina kabla ya Yakobo kuhamia Misri.

Waliporudi waliwatimua Wafilisti nao wakaimiliki nchi ya Kanaani/Palestina. Mwaka 1070 BC Daudi akafanya Yerusalemu kuwa mji wake mkuu. Sulemani akamjengea Mungu hekalu Yerusalemu.

Mwaka wa 70 AD Roman Empire iliteketeza Yerusalemu na hekalu lake na kuwapeleka Wayahudi uhamishoni katika maeneo mbali mbali ya milki hiyo.

AD 130 Emperor Adrian alilijenga upya Yerusalemu na kuliita Aelia Capitolina. Akawapiga marufuku Wayahudi kukanyaga katika jiji hilo kwa miaka 200. Kisha Mama ya Emperor Constantine aliyeitwa Hellen alitembelea Yerusalemu na akaanza kujenga maeneo matakatifu (Shrines) na Makanisa.

Katika karne ya 7 AD waislamu waliteka jiji la Yerusalemu na Caliph Abd al-Malik ibn Marwan akajenga Msikiti wa el Aqsa. Waarabu walihamia Palestina kipindi hiki hasa kuanzia mwaka wa 638 AD.

Baada ya Adolf Hitler kuwaua Wayahudi karibu milioni 6, Uingereza iliamua kuwarudisha kwao yaani Israeli/Kanaani/Palestina. Hivyo mgogoro ukazuka.

NB😛alestina ni Geographic location. Kuna wapalestina waarabu, Wapalestina Wayahudi, nk. Hata mimi nikipata uraia nitaitwa Mpalestina mwenye asili ya Tanzania.

MFANO: Tuseme ni mwaka 1967. Serikali inaanzisha vijiji vya Ujamaa. Watu wa Kijiji A wanapelekwa Kijiji B ambacho kina huduma zote za kijamii. Baada ya wanakijiji kuondoka watu wengine wanahamia Kijiji A. Wanajenga na kulima mashamba. Kisha mwaka 1985 sera ya ujamaa inakufa. Watu waliohamishwa wanarudi Kijiji A wanakuta tayari watu wengine wameshajenga na kuishi hapo. Mzozo unazuka. Nani atatatua mzozo huu?

Hiyo ndiyo hali ya Palestina. Wayahudi waliondoshwa mwaka 70 AD, Waarabu wakahamia 638 AD. Wayahudi wakarudi nyumbani 1947 AD. Waarabu wanawaona Wayahudi kuwa wavamizi, na Wayahudi wanawaona Waarabu kuwa wavamizi.
 
IMG_9309.JPG
 
Ndugu zao wa kiarabu wafanye bidii wawakatie vipande kule kwao kila mmoja. Wana sehemu kubwa. Sababu ishakuwa taabu sasa!
Wafanye vile Israel ilifanya kuja kuwachukua wa Ethiopian Jews ndani ya Ethiopia. Pitia hiyo operation Solomon. 👇
baada ya kuwachukua wa Ethiopia
1. wamewahasi wanawake wasizae

2. hao wanaume wanatengwa na kunyanyaswa kila siku, hapo askari mweupe anampa kibano mweusi sababu ya rangi yake

hivi toka waende kuna maandamano mangapi vile?
 
Na hata ungejilipua usingebadilisha chochote. Israel wanaendelea kugawa dozi pale wanapochokozwa. Nchi za kiarabu ziko kimya maana Mwanaume (Israel) aliwakalisha wote ndani ya siku sita tu wakaomba poo. Na hapo walimchokoza kuhusu Palestine. Waarabu ni wanafki kama wangekuwa na mapenzi ya kweli kwa ndugu zao Palestine wangewapa uraia Ila na wao ni wabinafsi kama binadamu wengine
Walikuwa binadamu kuwakaribisha 1949
 
Uganda watapigwa tu na Tz kwasbab wanang'ang'ania ardhi isyo yao.
Na ndo kinachowakuta Palestina kwasbb wao ni kama wakimbiz tu japo wameish hapo kwa miaka mingi.
Ni sawa na Tz Kigoma Raia wa burundi wapo weng wamezaliana mpak kusoma Tz alaf waanze kudai uhur
Ila ujue walikaribishwa 2949....unatumia vigezo vya dini kujustify uhalal wa wao kuwa pale
 
Ukiachana na dini wao hawakukaribishwa walirejea kwao na uingerea aliyekuwa mkoloni ndie aliyewapa ardhi nenda kasome mitandaoni. Kwanini wasiitake dubai au Iran watake Jerusalem sababu sio wajinga walitaka kwao
Baada ya miaka mingap kuondoka
 
Kwani yule china super power mpya mlie kua mna muwazia yuko wapi
 
Sababu ukirudi kuangalia history Israel walikuwa hapo toka kipindi cha king Darius mpaka Babylonian Empire na mwishowe Roman Empire ikawafukuza na kuwapeleka uhamishoni ulaya kipindi cha utawala wao. Pia Roman Empire wakabadilisha jina la nchi yao kutoka Herodian Empire kwenda Palestine na kuruhusu wafilisti ambao kwa kiingereza tunawaita wapalestina kuwa watawala wa ardhi ya wa Israel. So wao wana haki ya kuclaim ardhi yao na ndio maana mataifa makubwa hayawagusi.
Upande wa kidini kuanzia Christianity, Islam na Jews wenyewe wanasadiki wao ndio nchi teule. Fuatilia kuhusu Abrahamic faiths utaelewa
Wee! wakati huo ukoo wako ulikuwa eneo gani?

Unajijua kweli au unajua tu ya wengine?

Tangia lini mkimbizi akakimbilia kwenye nchi vamizi?

Kama waroma waliishambulia Israel ya wakati huo iweje wakimbilie tena huko mashambulizi yanapotokea

Nchi ambayo waisrael walikimbilia wakati wote iwe njaa au vita au magonjwa kwa mujibu wa biblia ni misri

Sasa wewe unaaminishwa na media za kimagharibi huku historia iko wazi juu ya hilo

Jiulize umekosea wapi, chunga Sana mdomo wako unashabikia mauaji ya ambayo hata shetani mwenyewe anayaonea aibu
 
Back
Top Bottom