Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Hao Hamas ndio sio magaidi. Wanakuchinja mchana kweupe wakikushika wewe! 🤣Kwa wanachokifanya waisrael ni rasmi sasa naamini ISRAEL NI MAGAIDI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Hamas ndio sio magaidi. Wanakuchinja mchana kweupe wakikushika wewe! 🤣Kwa wanachokifanya waisrael ni rasmi sasa naamini ISRAEL NI MAGAIDI.
Ndugu zao wa kiarabu wafanye bidii wawakatie vipande kule kwao kila mmoja. Wana sehemu kubwa. Sababu ishakuwa taabu sasa!Gaza ni eneo dogo sn lakini Lina wakazi takriban milioni mbili..hakuna airport hakuna,usafiri wa kuunganisha miji mingine,umeme kuwaka saa mbili Tu Kwa siku ni Jambo la kawaida sn
Jamaa Wana maisha magumu sn,jumuiya ya kimataifa sijui Kwa nn umeamua kuwapa kisogo
nchi gani ya kiarabu ipo kwenye vita yenyewe? yaani marekani atoke huko kwake avamie iraqi, wakijitetea wanapenda vita? Israel watoke ulaya wavamie palestina wakijitetea wanapenda vita? Usa na urusi wapigane ndani ya Ardhi ya syria then useme wa syria wanapenda vita? hakuna mtu anapendea vita duniani, isikie tu hivyo hivyo.In short nchi za Kiarabu vita wamefanya kama sehem ya maisha yao. Bila shaka pia nahis vita ni sehemu ya imani yao. Haiwezkan nchi za kiarabu miaka yote zenywe ziwe na vita tu.
haa ha ha mkuu israel wamekuwa magaidi maana sio kwa kuporomosha majengo kiasi hikiHao Hamas ndio sio magaidi. Wanakuchinja mchana kweupe wakikushika wewe! 🤣
😂 😂 😂 Haya tuletee uzi wa Msumbiji basi, tuingie kazini! 🤣Waafrika mmegomea kujihusisha na yanayotokea Msumbiji mnayawaza ya Uarabuni.. Tabia za kimbea mmezitolea wapi
Wee Rikiboy, hebu nijibu kwanza tena usizingue! 🤣 Hivi uko jangwani kule kwa hao, ni afadhali ukishikwa bahati mbaya na Hamas ama ushikwe na IDF? 😂haa ha ha mkuu israel wamekuwa magaidi maana sio kwa kuporomosha majengo kiasi hiki
daah mkuu acha tu wale mbwa makatili sanaaa acha israel wajilipize ilaa wanaua mpaka watoto sasa ndo kinachoniuma mimi.Wee Rikiboy, hebu nijibu kwanza tena usizingue! 🤣 Hivi uko jangwani kule kwa hao, ni afadhali ukishikwa bahati mbaya na Hamas ama ushikwe na IDF? 😂
Hii vita haiwezi kuisha kwasbabu ni ya Kidini kila mtu anavutia kwake na ni vita ya kihistoria kabla hata ya USA kuanza kuingilianchi gani ya kiarabu ipo kwenye vita yenyewe? yaani marekani atoke huko kwake avamie iraqi, wakijitetea wanapenda vita? Israel watoke ulaya wavamie palestina wakijitetea wanapenda vita? Usa na urusi wapigane ndani ya Ardhi ya syria then useme wa syria wanapenda vita? hakuna mtu anapendea vita duniani, isikie tu hivyo hivyo.
Hivi sahi Lebanon, Jordan wananchi wamevimba sababu ya ndugu zao, wanajaribu kuvuka mipaka waingie Israel, lakini vikosi vyao vinawadhibiti sambamba, sababu wanajua hawataki iwe tena issue waambiwe wanamuingila mayahudi kila upande. Itakuwa shoo mbaya na itabidi wazungu waingilie na nafkiri unajua mzungu akija nini hutokea? Vita sio vizuri jamani, bora hivyo nilizaliwa Afrika! 😎 Nchi zinapigania makaazi hadi wa leo 21st century??? DUH!!!In short nchi za Kiarabu vita wamefanya kama sehem ya maisha yao. Bila shaka pia nahis vita ni sehemu ya imani yao. Haiwezkan nchi za kiarabu miaka yote zenywe ziwe na vita tu.
Kweli, hapo hata kabla mzungu hajijui! 🤣Hii vita haiwezi kuisha kwasbabu ni ya Kidini kila mtu anavutia kwake na ni vita ya kihistoria kabla hata ya USA kuanza kuingilia
Kweli ni uchungu, ila ndo athari ya vita sasa. Hata huko Israel kuna vilio kwa nyumba za common residents sawia na huko Gaza. Hapo ni waache vita, lakini sio rahisi hivyo sababu kuna pande moja haitaki kuonekana mnyonge, ndio maana bado wanajisikia kulipizana tu, rusha ni rushe. Hapo ni kujimwambify tu, hamna hekima tena mbele ya vita.daah mkuu acha tu wale mbwa makatili sanaaa acha israel wajilipize ilaa wanaua mpaka watoto sasa ndo kinachoniuma mimi.
Habari wadau..!
Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..?
Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea kupata nao watotot bado wimbo ni Gaza .
Je kwa nini dunia haitaki kabisa kujihusisha wala kutafuta suluhu ya Gaza katika mgogoro wa Palestinians na Israel?
Tangu nimezaliwa juzi tu ndio nimesikia Waislam wa Kenya wakiandamana kupinga kile kinachotokea Gaza ,je kwa nini wengine hawapazi sauti wala kutoa pole ?
Sababu ukirudi kuangalia history Israel walikuwa hapo toka kipindi cha king Darius mpaka Babylonian Empire na mwishowe Roman Empire ikawafukuza na kuwapeleka uhamishoni ulaya kipindi cha utawala wao. Pia Roman Empire wakabadilisha jina la nchi yao kutoka Herodian Empire kwenda Palestine na kuruhusu wafilisti ambao kwa kiingereza tunawaita wapalestina kuwa watawala wa ardhi ya wa Israel. So wao wana haki ya kuclaim ardhi yao na ndio maana mataifa makubwa hayawagusi.Parestina wanaonewa Sana af anakuja mmasai mmoja anawasifia Israel kuwa ni taifa teule... parestina hawapgan na Israel Bali wanaandamana, wanaopgana na Israel ni gammas na sio parestinaView attachment 1786087hilo enoleo lote kilikuwa la parestina mwaka 1919 now wamekuwa wakimbizi , Hawa wapuuzi Bora wangeletwa Uganda tu Kama ilivokuwa imepangwa
Habari wadau..!
Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..?
Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea kupata nao watotot bado wimbo ni Gaza .
Je kwa nini dunia haitaki kabisa kujihusisha wala kutafuta suluhu ya Gaza katika mgogoro wa Palestinians na Israel?
Tangu nimezaliwa juzi tu ndio nimesikia Waislam wa Kenya wakiandamana kupinga kile kinachotokea Gaza ,je kwa nini wengine hawapazi sauti wala kutoa pole ?
Wanasytaili kuwa magaidi , hta mm ningekuwa gaidi, just imagine mtu unakuwa mkimbizi kwenye ardhi yako, hebu Google Raman ya parestina Kama ipo , wanasytaili kumind , af kinachokera watu wanamshabikia israel kwa kuamini ni mteule wa dunia ,ok kwakuwa yeye ni mteule Basi acha as tutende dhambi kwani umeandikiwa wao ni wateule na lazma wauone ufalne wa mbingu na ss hata tufanyaje lazma tuingie moton, Israel hii sio ile ya ibrahimu hii inavibaka tupu sio ile , kwa kuweka mahaba ya dini pembeni Israel gaidir nambar moja duniani,, kinachoniuma mataifa ya kiarabu yamejitoa Akat wao ndio walimshawishi parestina kumgawia ardhi muisrael Tena kwa moyo mkunjyfu, waacheni waparestina Vita owe ni maisha yao ni haki yao kupmbana, hao Israel wangeletwa Uganda Kama ilivokuwa imepangwa usikute hata as tusingekuwa tumejazana upande mmoja ,, uskute wangesema tz Kenya au Rwanda ndio nch yao ya ahadi fuckenHao Hamas ndio sio magaidi. Wanakuchinja mchana kweupe wakikushika wewe! 🤣
Ukitaka kukifanya chochote ni cha kidini ni itikadi zako tu. Lebanon ni nchi ya kiarabu Ila waarabu wake ni Wakristo na ndio nchi pekee duniani yenye waarabu ambao ni Wakristo pia kuna waislamu pia Ila mbona wao wanaishi kwa Amani. Kuna wakati Syria walitaka kuwavamia sababu ya kugombania eneo. Utasema nayo ni udini?Hii vita haiwezi kuisha kwasbabu ni ya Kidini kila mtu anavutia kwake na ni vita ya kihistoria kabla hata ya USA kuanza kuingilia
Unatusuta au😂😂😂Waafrika mmegomea kujihusisha na yanayotokea Msumbiji mnayawaza ya Uarabuni.. Tabia za kimbea mmezitolea wapi
Waafrika mmegomea kujihusisha na yanayotokea Msumbiji mnayawaza ya Uarabuni.. Tabia za kimbea mmezitolea wapi