nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
wanapata shida wapalestina wa kawaida ila hawa hamas interest yao ni kupigana tu, kila yakitokea machafuko km hivi wao ndio mda wao mzuri wakutest maroketi yapo kuona wanaweza piga wapi na wapi na israeli wanarespondi vipi, wanakusanya data tu wanazd kujpanga, so haijalishi jumuiya ya kimataifa itareact vp israeli wao wanachukua tu hatua wanazoona zinafaa kwa mslahi yao ya kiusalamam,