TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Miaka yote hiyo ina maana hawajapata mademu wa kumix race?Kwa nini wasioleane
Parestina wanaonewa Sana af anakuja mmasai mmoja anawasifia Israel kuwa ni taifa teule... parestina hawapgan na Israel Bali wanaandamana, wanaopgana na Israel ni gammas na sio parestinaMiaka yote hiyo ina maana hawajapata mademu wa kumix race?
Ss kwa nn dunia ipo kimya wanogopwa au kuna masirahi ya watu?Parestina wanaonewa Sana af anakuja mmasai mmoja anawasifia Israel kuwa ni taifa teule... parestina hawapgan na Israel Bali wanaandamana, wanaopgana na Israel ni gammas na sio parestinaView attachment 1786087hilo enoleo lote kilikuwa la parestina mwaka 1919 now wamekuwa wakimbizi , Hawa wapuuzi Bora wangeletwa Uganda tu Kama ilivokuwa imepangwa
Hadi maeneo ambayo kuna makazi mchanganyiko ya waisraeli na wapalestina nako kumenuka, wanaita communal violence....watu wanaoishi mtaa mmoja wanapigana kisa huyu ni muisraeli na mwingine ni mpalestina.hivi nikirudi kwenye maandiko ndio wale kizazi cha baba wa imani ismaili na isaka? kuna nini hasa wanacho gombania ni lile eneo la msikiti? au kuna jambo gani mi naona mabomu tu nifahamisheni chanzo cha hawa kubondana kuna nn mbona mataifa makubwa wapo kimya? basi hata Africa tupo kimya whats happening?
Dunia inaona Israel anatosha pekeyake kuwaangamiza hao magaidi wa Hamas.
Yah hao Hammas ni wapalestina na waungwa mkono na serikal ya palestina na nchi zote za kiarabu ili kum-defeat mu IsraelParestina wanaonewa Sana af anakuja mmasai mmoja anawasifia Israel kuwa ni taifa teule... parestina hawapgan na Israel Bali wanaandamana, wanaopgana na Israel ni gammas na sio parestinaView attachment 1786087hilo enoleo lote kilikuwa la parestina mwaka 1919 now wamekuwa wakimbizi , Hawa wapuuzi Bora wangeletwa Uganda tu Kama ilivokuwa imepangwa
sababu siku hizi hakuna maadili, watu wanaangalia maslahi kuliko morals,Habari wadau..!
Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..?
Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea kupata nao watotot bado wimbo ni Gaza .
Je kwa nini dunia haitaki kabisa kujihusisha wala kutafuta suluhu ya Gaza katika mgogoro wa Palestinians na Israel?
Tangu nimezaliwa juzi tu ndio nimesikia Waislam wa Kenya wakiandamana kupinga kile kinachotokea Gaza ,je kwa nini wengine hawapazi sauti wala kutoa pole ?
Kale ka nchi (Israel) ni kadogo lakini kanapeleka misaada ya kila aina sehemu nyingi duniani, sana sana hapa kwetu Afrika, ndo maana akilianzisha na ndugu yake huko kwao, kila mtu kimya. Hali hii imeletwa na mazoea ya kupewa vya bure! 🤣 🤣 🤣Ss kwa nn dunia ipo kimya wanogopwa au kuna masirahi ya watu?
eneo la msikiti hata hakuna fujo sana mostly ni watalii, na hata kukiwa na fujo ni mabomu ya machozi hutumika.hivi nikirudi kwenye maandiko ndio wale kizazi cha baba wa imani ismaili na isaka? kuna nini hasa wanacho gombania ni lile eneo la msikiti? au kuna jambo gani mi naona mabomu tu nifahamisheni chanzo cha hawa kubondana kuna nn mbona mataifa makubwa wapo kimya? basi hata Africa tupo kimya whats happening?
Saa zote mpalestina ndiye wa kwanza kurusha jiwe. Hivi unamtupia jiwe jirani yako alafu akikurushia kombora unalalamki. Vipi wale?Hadi maeneo ambayo kuna makazi mchanganyiko ya waisraeli na wapalestina nako kumenuka, wanaita communal violence....watu wanaoishi mtaa mmoja wanapigana kisa huyu ni muisraeli na mwingine ni mpalestina.
kanapeleka ama kanaletewa? israel bila misaada hawezi kuishi pale, anasaidiwa kila kitu na US na UK na mataifa ya ulaya magharibi.Kale ka nchi (Israel) ni kadogo lakini kanapeleka misaada ya kila aina sehemu nyingi duniani, sana sana hapa kwetu Afrika, ndo maana akilianzisha na ndugu yake huko kwao, kila mtu kimya. Hali hii imeletwa na mazoea ya kupewa vya bure! 🤣 🤣 🤣