Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

Yah hao Hammas ni wapalestina na waungwa mkono na serikal ya palestina na nchi zote za kiarabu ili kum-defeat mu Israel
Huyo Muajemi Iran anawadanganya Sana hao Wapalestina na hiyo Hamas yao ili afanye biashara ya silaha.Na malengo binafsi mengine.

Iran wanatishiaga nyau kuiangamiza Israel lkn hawathubutu bali wanatumia mgongo wa Palestina/Hamasi kupigana na Wayahudi.
 
In short nchi za Kiarabu vita wamefanya kama sehem ya maisha yao. Bila shaka pia nahis vita ni sehemu ya imani yao. Haiwezkan nchi za kiarabu miaka yote zenywe ziwe na vita tu.
Kale kakitabu ka kishirikina (Kuran) ndicho kinawafundisha wao ni dini bora na wengine ni makafiri.Wanadanganywa sana.Acha wabondwe kisawa sawa Hadi akili ziwakae sawa.
 
Adui mkubwa wa Allah sio shetani ila Myahudi [emoji56][emoji56]
 
Jamaa (hamas)wanahifadhi silaha kambini,hospitalini na hata misikitini. Sasa Israel wanachofanya kama roketi zimefyatuliwa toka shule au hospital au popote wao wanapiga hapo. Shida ndo inaanzia hapo
hio link niliyoweka ni kambi ya wakimbizi chini ya UNHCR nayo ni magaidi?

kuna video nyengine jengo la AL jazeera na association press yamepigwa mabomu, hawa nao ni magaidi?

unahitaji kipaji cha level za mirembe kuamini wanapigana na Hamas
 
hio link niliyoweka ni kambi ya wakimbizi chini ya UNHCR nayo ni magaidi?

kuna video nyengine jengo la AL jazeera na association press yamepigwa mabomu, hawa nao ni magaidi?

unahitaji kipaji cha level za mirembe kuamini wanapigana na Hamas
Wabondwe tu hamna namna
 
akili fupi ndio inaiona Israel Kwenye vita vya Gaza.....
wenye akili ya kawaida wanajua waliokaa kimya ndo wamemtuma Netapussy kuvuruga hao waarabu.....
 
Hamas siyo Wapalestina??

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja wapukutike kwanza wanajifanyaga wahuni kuvaa tubomu kuuwa wengine. Wamekutana na wababe wacha tuwaangalie sasa

Miaka na miaka wameshindwa kuwapukutisha wakiwa na silaha kubwa na msaada wa amerika wataweza sasa!
 
Suluhu ni hiyari ya wagombanao siyo dunia kuwaamuru wapatane. Jumuia ya kimataifa imejitahidi sana kutoa matamko na kuandaa mikutano ya usuluhishi camp david nk nk matokeo yake waziri mkuu wa Israel aliyetaka suluhu na waarabu sijui Yitzak Rabin aliuwawa. Haya ya waarabu na wayahudi tuwaachie wenyewe huko Somalia na EThiopia Jimbo la Tigray waafrika wenzetu wanauwawa tu tumekaa kimya
 

Basi, Anzisha na wewe thread yako kwa ajili waethipia wako. .
 
Kuna taasisi na watu wanapata pesa nyingi kutokana na huo mgogoro na ukiisha watakula wapi? suluhisho ni kufuata ramani ya nchi ya israel na wengine wataishi kama wahamiaji, Ni kama USA wenye hati miliki ya Nchi ni wahindi wekundu ila wahamiaji wanaruhusiwa kuishi na kuongoza taifa.
 
Na hiki ndicho wengi wasichokijua na ndiyo sababu hutoweza kuona vitabu vya dini vya kiyahudi vikiuzwa kwa wazi kama Qur'an na Biblia.
 
Au kingine wajiulize Urusi ya Kisovieti viongozi wengi walikuwa ni Wayahudi lakini hawakuiva hata kidogo na Wayahudi wa West mpaka kuingia kwenye mgogoro mkubwa wa vita baridi. Kuna nini?

Mapinduzi ya Bolshevik nchini Urusi na uongozi wao uliwaua kwa wingi Wayahudi wenzao na ndiyo waliyofujisha siri ya mpango wa West kuigawa kimkakati Palestina dhidi ya Wayahudi wa west. Watu wajiulize ni kwa nini ipo hivi?

Kuna nini nyuma ya pazia?

Vita baina ya Misri na Israel 1973 ambayo Israel ilishindwa vibaya kwa nini Misri ilivyositisha mashmbulizi dhidi ya Israel yenye Wayahudi, Wayahudi wa Kisovieti waliwahoji wa Misri kwa nini mmesitisha badala ya kuendelea kuwashambulia?

Watu inawabidi watafakari! Kwa ujumla hawa Wazayuni ni maadui wa Ubinadamu na Utu wa binadamu.
 
Huwezi ukawaona hapa ukitoa ushahidi kama huu kwa komenti mfano kama wa kwako au kwa Uzi zilizojitosheleza zenye mfano kama wa kwako. Huwa wanaziacha tu kwa sababu wanajua hawana ukweli bali wamebaki na hisia.

Kuna documentary moja ilionyesha wazi mpaka kiongozi wa Kiyahudi wa kipindi hicho (nimsahau jina) aliuandikia UN barua ya kuomba zuio kuwazuia hao waliyohamia Palestina 1948. Lakini wengi wa humu JF hawajui, na haitoshi kuwa hawajui Bali wamekaza shingo!

Kwa kila ambalo wanalolifanya hawa Wayahudi Wazayuni utaona wanatoa sababu za wao kujilinda ni kutotokea kwao kama yalivyowatokea kipindi cha Hitler. Ukiliangalia suala lao lilikuwa ni la kiutu kiubinadamu.

Lakini kilekile walichofanyiwa na Hitler ndicho wanachokifanya Israel dhidi ya Palestina. Hili kwa watu ambao wanaoungalia utu ndipo wanapohoji! Wanasema wanajilinda ni sawa!

Suala si kusema atakayeilaani Israel naye atalaaniwa, suala utu wa Israel hapa uko wapi?

Lakini mbona mnayafanya yale ambayo aliyoyafanya Hitler dhidi yenu kwa wenzenu Palestina kwa kigezo cha kujilinda kwa kutofanyiwa kama ya Hitler hali ya kuwa mnayafanya kama ya Hitler?
 
Na hiki ndicho wengi wasichokijua na ndiyo sababu hutoweza kuona vitabu vya dini vya kiyahudi vikiuzwa kwa wazi kama Qur'an na Biblia.
mkuu ukipata muda pitia hapa, kifupi hakuna alieachwa, si mwarabu, si mchina, si wayahudi wenzao, si Wa africa, wote waziwazi jamaa wanawatukana na kuonyesha ubaguzi wa wazi wazi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…