Kwanini Eng. Hersi hatakiwi Yanga kwa Sasa? Jibu Hili Hapa

Nchi hii imejaa wazee njaa tupu, wengi hawana akili wala faida kama huyo dingi kivuruge
 
Wametumia katiba ya 2020 kumchagua eng hersi mobeto wakati Rita Kuna katiba ya 2011.
Katiba za klabu za michezo zinapitishwa na BMT siyo Rita, ingawa rita wanaweza kupata nakala, lakini chombo kinachosimamia vilabu vya michezo ni BMT.
 
CUF wakati wanagombana hayati Maalim Seif Rita walienda kutoa ushahidi......sasa sijajua yanga na Rita nani wapo sahihi, cha msingi katiba iliyomuweka madarakani eng hersi mobeto haikusajiriwa sehemu husika hao wanasheria wenyewe wa yanga hawakuikana Rita walichosema muda wa kukata rufaa umepita watapambana na fojari kama ipo.
 
Eng. Hersi Mabeto ndio nani tena jamani?
Ila katika hili mzee Magoma sio wa kulaumu bali kuongezwa maana kasaidia kupata tafsiri ya kisheria kuwa Huyo Hersi na wenzake hawapo kisheria
 
Nchi inawazee baadhi wa Hovyo Sanaa,vimejaa njaa vimeshindwa kutafuta pesa ujanani kazi kuhonga tu Sasa vinaleta fitina Ili vipate ulaji(njaa) tupu. Viva Hersie
huwezi kua huna ela ukaenda kuishitaki kamati ya gsm ukashinda uyu ana ela wendo ukoo wenu wote hauna
 
Eng. Hersi Mabeto ndio nani tena jamani?
Ila katika hili mzee Magoma sio wa kulaumu bali kuongezwa maana kasaidia kupata tafsiri ya kisheria kuwa Huyo Hersi na wenzake hawapo kisheria
Duh nimejichanganya silijui jina lake la pili kwani anaitwa eng hersi nani?
Mzee Magoma hana shida na mtu kama ulivyosema tena mimi nampongeza sana.
 
CUF wakati wanagombana hayati Maalim Seif Rita walienda kutoa ushahidi......sasa sijajua yanga na Rita nani wapo sahihi, cha msingi katiba iliyomuweka madarakani eng hersi mobeto haikusajiriwa sehemu husika hao wanasheria wenyewe wa yanga hawakuikana Rita walichosema muda wa kukata rufaa umepita watapambana na fojari kama ipo.
Rita ni watunza rekoru tu siyo wanapitisha rekodi hizo
 
Kwahiyo yanga rekodi zao wanazitunza maktaba??
Swali la kijinga sana hilo kama hujui kutofautisha kati ya kutunza rekodi na kupitisha document kuwa rekodi. Kimsingi ukiachilia mbali mamlaka ya kutayarisha documents za vuzazi, vifo, ndoa, talaka na kuasili watoto RITA ni maktaba ya kutunza documents zilizotayarishwa na mamlaka nyingine. RITA haina mamlaka ya kutayarisha au kupitisha katiba za vyama au vilabu vya michezo.
 
Swali rahisi sana unakuja na majibu yasiyoendana na swali rudia kusoma swali tena.
 
Back
Top Bottom