Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

Of course utaona tofauti kwani hata hujasikiliza hata clip moja , umefyatuka kama risasi unasema haya mambo hayahusu mada.
Kwa nini nipoteze muda wangu kusikiliza takataka zisizohusiana na jambo tunalojadili hapa?
 
Umesha amua kuwa zile ni takataka kabla hata hujasikiliza , haya, poteza muda wako kujadiliana na mimi
 
Nitajadili na wewe kuhusu uhuru wa waZanzibari toka kwa wakandamizaji kama ulivyoeleza toka mwanzo.
Na mimi kuhusu hili ninakubaliana kabisa na wewe, na ninakukumbusha tena, sasa hivi Samia ndiye mwenye uwezo wa kuwaondolea tatizo hilo kwa haraka sana bila ya kuhojiwa na yeyote.
 
Samia hana uwezo wowote chini ya huu mfumo kristo na nimekuwekea hapo video kuthibitisha hilo na hutaki kusikiliza , sasa nikufanye kitu gani ??
 
"Mfumo" tena?

Ni nani mwenye madaraka yote ndani ya nchi hii, anapoamua kufanya jambo hakuna wa kumhoji?

Hivi visingizio unavitoa wapi wewe?
 
Ushahidi ninaokuwekea hutaki kuusikiliza unanilaumu kitu gani ??
 
Kuna ushahidi gani kuushinda unaoonekana wazi kwa kila mtu yeyote kuhusu madaraka makubwa aliyonayo rais wa nchi hii?

Naona unatafuta tu kunichosha na hii mizunguko yako mingi.
 
Kuna ushahidi gani kuushinda unaoonekana wazi kwa kila mtu yeyote kuhusu madaraka makubwa aliyonayo rais wa nchi hii?

Hayo unayaona wewe kwani hutaki kusiliza clip , baki na hiyo imani yako
 
Uhalisia upo wazi, kwa kila mtu kuuona, lakini wewe hilo hutaki unakwenda kutafuta visingizio vingine ambavyo hakuna anayejua usahihi wake ulivyo.

Kama huna jipya, tafadhali usinipotezee muda wangu.
 
Wewe sema unalopenda , nimeshakuwekea ukweli wa Mfumo Kristo unaoitesa nchi , sasa hayo mengine unayayoyawaza ni yako mwenyewe, Baki nayo mwenyewe
 
Mzanzibar katika ubora wako! Waandaeni kisaikolojia ndugu zenu. soon tunawatimua Tanganyika
 
Zilipendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…