Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

Wewe sema unalopenda , nimeshakuwekea ukweli wa Mfumo Kristo unaoitesa nchi , sasa hayo mengine unayayoyawaza ni yako mwenyewe, Baki nayo mwenyewe
Una maana Samia yupo hapo kwa sababu ya mfumo, au siyo?
 
Mzanzibar katika ubora wako! Waandaeni kisaikolojia ndugu zenu. soon tunawatimua Tanganyika

Watimueni hata saa hii , msisahau kuondoa haya majeshi yenu na usalama waliojaa kila mtaa huku kwetu
 
Utaposikiliza utajuwa zaidi
nilishakwambia mara kadha, huwa sina wakati wa kupoteza nikisikiliza matakataka kama hayo.

Wewe upo hapa tunajadiliana vizuri tu, na hapo juu nimekuuliza swali, lakini hutaki kujibu. Kama hii siyo kupotezeana muda, niseme ni kitu gani?
 
Kama huna Wakati basi jitahidi Uwe nao kwani utazidi kuupoteza kwa kulalamika na kuamini vitu visivyokuwepo
 
Back
Top Bottom