Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

Kama huna Wakati basi jitahidi Uwe nao kwani utazidi kuupoteza kwa kulalamika na kuamini vitu visivyokuwepo
Ona sasa ulivyo mpuuzi.

Ni nani anayelalamika hapa? Mara hii umesahau habari ya Zanzibar na wanaowanyima uhuru. Vipi, hivi unazo akili za kutosha kichwani mwako?

Ni vitu gani unavyoona ninaviamini wakati havipo; wakati ni wewe mada nzima unaimba "mfumo, mfumo, kila sehemu!

Basi, nimejua sasa kwamba umepungukiwa kichwani.
 

Mpuuzi ni wewe unayelalamika kuwa hutaki kupoteza wakati kuangalia ile clip kumbe Huo wakati ulioupoteza kuniandikia pumba ni mara 20 ya hiyo clip😝😝😝
 
Lakini hujaeleza alivyo tofauti na Samia katika sifa hizo ulizozitaja hapo! Hii ingesaidia kidogo kuwaelewa hawa viongozi wawili.
Hata sioni tofauti zao, wote wanafanana, wakija mbele yenu wana tabasamu pana usoni mwao, na sauti zao laini, lakini nyuma ya pazia wote wana mipango ya kutugeuza watumwa tuwe mafukara ndani ya ardhi yetu.
 
Tulia upate dawa nilijuwa utakuja huko , kwani Pengo alipata wapi ujasiri wa kuwaambia hivyo ??

YOTE YALIANZIA HUKU


Hivi huu mfumo Kristo kama kweli upo, kwanini hao wenzenu katika imani wakija huwa hawaubadilishi?
 
Wewe unaona ni takataka kwa sababu hutaki kuujua ukweli na unajifanya eti nakupotezea muda haya kaungane na mapadri wako akina Slaa kupinga bandari isikodishwe , lakini sorry mumechelewa
Haya tena, hoja za bandari kutolewa milele kwa mwarabu mnashindwa kuzijibu, ajabu unawekeza kwenye dini ya Dr. Slaa kama vile ndio jibu la maswali mbayoulizwa kuhusu kutoa bure bandari zetu kwa mwarabu milele, ajabu zaidi unajiona genious uliyejibu maswali kwa usahihi!.
 
Tanzania haiendeshwi kwa wanasheria, kuna mifumo kamili ya usalama.


Kinachotakiwa ni ukweli. Siyo porojo za mitandaoni.

Kama unaujuwa ukweli, jitokeze uoneshe huo mkataba uko wapi?
Bibi kama bibi kachachawa. Shida serikali ilirukia treni kwa mbele, lazima iingie mgogoro na wenye treni ambao ni wananchi
 
Kwa taarifa yako huyo Eric Hamis ni mtu wa karibu sana na utawala uliopo madaraani hivyo kama watawala.

Yule ni mtu ambaye anapewa nini cha kufanya na waliopo madarakani akatekeleza.

Ukitaka undani wake utapata hapa hapa
 
Kula ya kanisa inaondoka usilie ,mtapata sadaka Za waumini
 
Kula ya kanisa inaondoka usilie ,mtapata sadaka Za waumini
Kanisa linajitegemea miaka yote, ndio maana serikali kwa kuona Kanisa limejiongeza kujenga majengo ya hospital na shule, wao serikalini wakaona wawaongeze nguvu kwenye mambo mengine..

Umedumaa sana kifikra, nyie ndio huwa mnajivika mabomu ili kuwalipua waliowazidi uwezo kifikra na kiuchumi, ujinga wenu unawasababishia hasira zinazoleta madhara kwa jamii, kina Al Shabab, na Al Qaeda.
 

Sichelewi kusema we jamaa una mtindio wa ubongo.
 
Samia hana uwezo wowote chini ya huu mfumo kristo na nimekuwekea hapo video kuthibitisha hilo na hutaki kusikiliza , sasa nikufanye kitu gani ??

Sasa ushauri wako ni upi ili uondokane na huu mfumo kristo,toa mapendekezo yako.
 
Sasa ushauri wako ni upi ili uondokane na huu mfumo kristo,toa mapendekezo yako.
Ni muondowe majeshi yenu yaliyojaa kila mtaa huku kwetu Zanzibar, huu uvamizi unaoitwa muungano uishe kila nchi iende ki vyake kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki Kama ilivyokuwa kabla uvamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…