StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Acha mizahaisije ikawa nyoka anaezungumziwa ni huyu hapa chini. Maana akiamua kukuingiza kwenye msala. Utakujaju juta akisha haribu ananywea anajifanya tukio halimhusu kabisa.
Anakuponza mazima wakati asali alikula yeye. Na sometimes wewe ulikuwa huhitaji ni kiherehere chake.
Biblia imeandika yale tu yaliyokuwa significant kwa ajili ya kuelezea mpango wa Mungu. Kwamfano watoto wa Adam wanatajwa watatu tu na wengine inaandikwa tu akazaa watoto wa kiume na wakike kwasababu hao hawakuwa significant kwenye kuuelezea mpango wa Mungu.Thibitisha
😅😅Anaongelewa nyoka mnyama.isije ikawa nyoka anaezungumziwa ni huyu hapa chini. Maana akiamua kukuingiza kwenye msala. Utakujaju juta akisha haribu ananywea anajifanya tukio halimhusu kabisa.
Anakuponza mazima wakati asali alikula yeye. Na sometimes wewe ulikuwa huhitaji ni kiherehere chake.
Lengo la kufanya mafumbo ninini? Mtego ili watu wasielewe, wafanye yasiyopaswa kufanywa?
Kwahiyo kabla ya hapo shetani alikuwa kiti Cha enzi na mungu wanapiga sogaShetani tayari yupo kwenye adhabu maana alishushwa kutoka mbinguni. Ni sawa na leo umchukue majaliwa umpeleke pale kwenye viwanda vya MO awe anafanya kazi ya laki na nusu kwa mwezi. Ni adhabu tosha.
Alikuwa kama majaliwa kwa Samia, full kuimba sifa mpaka alipotaka yeye ndio aimbiwe sifa.K
Kwahiyo kabla ya hapo shetani alikuwa kiti Cha enzi na mungu wanapiga soga
Mambo gani sasa haya ya kutegana,Ili mtu atumie akili yake barabara kwani pepo sio lelemama.-- no sweet without sweat.
Mambo gani sasa haya ya kutegana,
Conclusion yako imeshaonesha hicho kitabu ni empty.Tenga muda wako na tafuta kitabu cha biblica scholar profesa JAMES KUGEL wa harvad unirvesty,:HOW TO READ THE BIBLE (A Guide to scripture then & now) nikipata muda nitakiwekaa!! Kiufupi adam & eva,nyoka ni hadithi ( soga,ngano,vigano,visasili,visakale na tarihi) tunaweza kusema.
Na hili ndilo tatizo la mfumo wa elimu wa kikoloni tuliorithi na tunakwenda nao kwa kupachika virakaviraka.Conclusion yako imeshaonesha hicho kitabu ni empty.