Kwanini familia ya Dewji imegandamana na timu ya Simba?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao.

Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha watu kumhusisha mangungu na matokeo mabaya na ikifanya vizuri mazuri yanapewa mwekezaji. Hii ni dhambi kubwa.

Serikali ingilia kati ubwege huu unaoathiri watanzania wengi mashabiki wa Simba.
 
Wanaitumia simba kufanya matangazo ya bidhaa zao, afu linakuja kusema eti limekula hasara
 
Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao.

Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha watu kumhusisha mangungu na matokeo mabaya na ikifanya vizuri mazuri yanapewa mwekezaji. Hii ni dhambi kubwa.

Serikali ingilia kati ubwege huu unaoathiri watanzania wengi mashabiki wa Simba.
Tutakupa timu we na mumeo muiendeshe bibie...MO ataondoaka!! Sawa?
 
Afrika yetu hii soka ni kwa ajiri ya huduma au burudani zaidi kuliko faida nikimaanisha pesa.

Kupata burudani ndio faida yenyewe na si vinginenevyo.
Hivi kweli katika akili ya kawaida mmiliki wa Timu kama Singida anapataje faida kwa mfano.......
Faida Haiwezi kuwepo, na haitakuwepo...kwakipi anachouza?

Leo ukipewa balance sheet ya Simba kwa mwaka mzima 2025/2026 utakutana na hasara tu...matumizi always ni makubwa kuliko mapato.
Sasa Dewji anakuibieni nini?
Unless tunapewa hesabu za uongo.

Ukija Yanga ni yaleyale.
Matumizi ni makubwa kuliko walichokusanya kwny kila angle.
Kwahiyo hata hiyo Yanga ina-operate under loss...kwa mujibu wa hesabu zao wenyewe unless wanachama wanapewa hesabu za uongo.
Faida pekee ni ile huduma ya kuburudisha watu husika.
 
Madogo mtafute kazi. Mkikaa kuzungumzia tu watu mtakuja olewa bila hata mahari. Hao unaowataja utakuta wana maisha yao n.k wewe upo upo tu ukisugua magaga unabaki tu kupaka wanja na poda siku nzima. Unaweza hata ukawa unapara miwa unapata vijicent kidogo.
 
Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao.

Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha watu kumhusisha mangungu na matokeo mabaya na ikifanya vizuri mazuri yanapewa mwekezaji. Hii ni dhambi kubwa.

Serikali ingilia kati ubwege huu unaoathiri watanzania wengi mashabiki wa Simba.
si ameinunua mkuu, timu ni yake
 
Back
Top Bottom