tail is tail tu...?Mikia ni mikia tu.
Kama vitu gani vya msingi vinahamishwa kujadiliwa kwa makelele ya Simba?Watz shitukeni hizo ni propaganda za kuwahamisha msijadili vitu vya msingi
Tutakupa timu we na mumeo muiendeshe bibie...MO ataondoaka!! Sawa?Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao.
Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha watu kumhusisha mangungu na matokeo mabaya na ikifanya vizuri mazuri yanapewa mwekezaji. Hii ni dhambi kubwa.
Serikali ingilia kati ubwege huu unaoathiri watanzania wengi mashabiki wa Simba.
Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao.
Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha watu kumhusisha mangungu na matokeo mabaya na ikifanya vizuri mazuri yanapewa mwekezaji. Hii ni dhambi kubwa.
Serikali ingilia kati ubwege huu unaoathiri watanzania wengi mashabiki wa Simba.
Vitu Gani watu tajir ameshasema mchakato badoWatz shitukeni hizo ni propaganda za kuwahamisha msijadili vitu vya msingi
si ameinunua mkuu, timu ni yakeTatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao.