Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

Magufuli wakati alipokuwa yuko hai alikuwa akilalamika sana kwamba 'mniombee, kuna watu wanaona Mimi ninakwamisha sana mambo yao'
 
Sio kikwete tu Magufuli na ikulu, airport chato

Samwel sitta na ofisi ya bunge urambo

Samia na pesa za watanganyika kuzipeleka Zanzibar

Kiufupi Ccm ina viongozi wabinafsi sababu kuu ni kuzaliwa kwenye umasikini!!

Anachokipeleka Samia Zanzibar ni stahiki yao, kwanini munalazimisha Muungano halafu hamutaki kutoa mgao wa muungano?
 
Dini ni ugonjwa wa akili na kilevi kibaya sana cheki kama huyu mLevi anayeogelea kwenye wine la dini
 
Hakuna sukuma gang yeyote ama mtoto wa jiwe atakuja kunusa ikulu
Hujui lolote kuhusu sukuma gang, wapo kila kona dunia hii, hawapendi madaraka Ila wakiamua kuchukua madaraka hakuna wa kuwazuia.

Kwa taarifa yako Magufuli hakuwa msukuma, hivyo kaa ukijua kwamba sukuma gang hawajawahi kuongoza hii nchi kwa sababu hawanaga tamaa ya urais.
 
Duh!! Ndiyo maana nchi inapata tabu kubwa kwasababu za watu kama nyinyi.

Kwanini hujadili hoja ya msingi,badala yake unaingiza udini na marehemu???
 
Salma Kikwete ni mwanamke mbinafsi,mwenye tamaa na roho mbaya sana.
 
Nchi ilikua changa wasomi walikua wachache na hawakutosha mpaka tukawa tunaazima wataalam nje ya nchi.

Babu zenu walikua hawapendi shule kutwa kuruka na ungo na mafisi tu kulogana.

Matokeo yake ndio haya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo mambo ya katiba mpya na tume huru yanaishia jalalani, sio?
 
Jipige kifuani Mara tatu ukijiiambia Maneno haya .

"Mimi moisemusajiografii ni mjinga na Mpumbavu"
 
Kukaa unamuwazia mabaya JK ni kujitesa nafsi tu



Ukiyajibu maswali hayo hutokaa kuhangaika na JK.
Shika hamsini zako
Mjinga Mmoja wee, kumbe ndio maana Nchi haiendelei sababu ya majuha na matahira kama wewe .


Mama yako alikubebea mimba, ikafikisha miezi Tisa kweli??..
Sina shaka kama ilifika ulipata tatizo wakati wa kuzaliwa, tatizo liloathiri Ubongo wako.



Wewe ni mpuuzi Mmoja ambaye ukija kupata watoto, hata kuwafundisha nyumban hesabu za darasa la tatu, hutoweza Kwa sababu ya ujinga uloujaza kichwan kwako.
 
JF ifike wakati mtu avune alichopanda , kurekebisha heading ya uzi huu kumeondoa uhalisia , uzi ulihusu Tamaa ya hiyo familia na kiukweli wanayo tamaa iliyopitiliza , kitu ambacho na nyinyi mnajua , sasa mnapomsitiri mnakuwa mnalenga kuokoa nini ?

Acheni nyeusi iitwe kwa rangi yake halisi
 
Walichofanya ni uhuni kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…