Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

Utakuwa unafaidi sehemu ya huu ufisadi wa awamu hii ya sita. Mawazo ya kipuuzi kabisa kwako ndio unayapigia vigelegele!.
Mkuu Deno acha nikuulize jambo, unaweza kuweka ushahidi wa wizi au ufisadi wa J. M. Kikwete hapa hata wa shilingi 50?

Unaweza kuweka ushahidi wa mheshimiwa Salma kuwashurutisha, kuwalazimisha au kuwahonga wabunge wote wa CCM kupitisha sheria ya mafao ya wenza?

Mkuu naheshimu mawazo yako na mtazamo wako ila sikubaliani nao. Kwa msingi huo nawe una uhuru wa kutofautiana nami bila kunituhumu kisa tu nipo kinyume na mahaba yako.

Nakusihi usikubali kuambukizwa maradhi ya kuchukia watu bure, huna any basis ya kumchukia JK, unafuata mkumbo, wewe sio wa hivyo Mkuu!

Tuelimishane taratibu, tutofautiane kwa hekima, na turekebishane kwa staha. I always see wisdom in you not otherwise, unless I am wrong!
 
Ongezea na sisi Watanganyika kwa kukaa kimya kama vile hakuna kilichotokea. Kwa maana nyingine, Upumbavu wetu ndiyo Mtaji wao.

Siku akili zikitukaa sawa basi wengi wetu bila kujali itikadi zetu kisiasa, tutakuwa na sauti moja ya kudai KATIBA MPYA.
 
Nchi ilikua changa wasomi walikua wachache na hawakutosha mpaka tukawa tunaazima wataalam nje ya nchi.

Babu zenu walikua hawapendi shule kutwa kuruka na ungo na mafisi tu kulogana.

Matokeo yake ndio haya.
Ndiyo maana tunawaabia CCM ni chama chakavu. Hawana mawazo mapya. Bado Viongozi wake na Serikali yao wamekalia mawazo ya kishirikina. Hakuna tofauti kati ya Wasomi na Wasiosoma( rejea maneno ya Hamphrey Polepole na Paulina Gekul). Hata JK aliwahi kusema "Wanaccm hawaachiani maji mezani.
 
ndiye rais wa hovyo aliyemea ufisadi kuliko wengine. familia la vilaza na walafi.
 
hicho kibabu ukikitaja nahisi kupandwa hasira.
 
Wewe ni mpumbavu na mjinga tu! Umeusoma huo uzi?

Umeona huo uzi upo kidini? Pumb..uzako
 
Royal family
 
HIYO FAMILIA INA LAANA IMELAANIKA NA KITU KIKISHA LAANIKA UJUE ICHO KITU NI BASI TENA
 
Ndugu zangu masikini najua kuchomoka kwenye umasikini ni mchakato hata wa miaka 20 lakini nasema msikate tamaa. Wakina kikwete na familia wanatujulisha hakuna kurizika Kwa kile ulichonacho sasa wewe inakuwaje kipato Cha elfu Tano Kwa siku unaridhika
 
Utakuwa unafaidi sehemu ya huu ufisadi wa awamu hii ya sita. Mawazo ya kipuuzi kabisa kwako ndio unayapigia vigelegele!.
Lwiva anasema muundo/mfumo sahihi kisiasa wa kuendesha nchi ni:

Kuwa na "serikali ya Kijamaa na Umma wa kibepari".

Ametaja mifumo minne. Mitatu mingine ni
2.serikali ya Kijamaa na Umma wa Kijamaa
3..serikali ya kibepari na Umma wa kibepari.
4.serikali ya kibepari na Umma wa kijamaa.

Changua mwenyewe tupo kwenye mfumo upi?
 
Iko vile bandugu !
No peace of mind !!
Kila kitu huwa hakitoshi !
 
Duh 🙄 !
Kumbe Konda boy kule kunakofukaga moshi ilikuwa almanusra ?!!
Kazi kweli kweli !
 
Kama ni hivyo nakupa pole kwa maumivu ya kujitakia.
JK and family are still there kula maisha.
Sasa hv yuko level za kimataifa. Sass we Masikini endekeza tu umasikini wako kutwa kucha kujadili maisha ya watu ambao hata mjikusanye ukoo wenu na kijiji chenu chote hamna uwezo wa kubadili Maisha ya JK family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…