Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kunakofukaga moshi kwa sasa watu wameshapata password.........subirini maturubai tuDuh π !
Kumbe Konda boy kule kunakofukaga moshi ilikuwa almanusra ?!!
Kazi kweli kweli !
Familia ya mzee Mwinyi nayo imeingiza timu nzima kwenye shughuli za kisiasa.Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.
Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.
Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?
Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.
Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.
Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
Huyu mzee nikimsikia siku moja akisema jambo kama lina maslahi we komaa nalo tu . Ukiona ikulu kuna mtu anakomaza shingo hasa kwa mfano Diiiiii Piiiii jua kuna mkongwe nyuma
Dini za mashetani bwanaa kutukana Ni sifa yenu... Ushetani kwenu Ni sifa.Jiwe alikuwa shetan,chuki zenu kwa kikwete sababu ni muislam wapuuzi nyie,
Wapuuzi wenzenu wamepiga kelele kuhusu DP WORLD serikali makini ya samia iliwapuuzilia mbali,
Mlivyo matahila mkasema eti Vatcan inaendesha dunia,lazima serikali itaufyata,
Mmbwa nyie
Salma kikwete ile corona ingepita naye tu wakati ule
Huna hoja, zaidi unasumbuliwa na :Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi
Hata Kikwete anatamani agombee tena awe Rais apige pesaRidhiwani atakuwa rais 2030 ili aendelee kuchuma. Moende au msipende.
Ni mwendo wa kusaka madaraka mpaka kifo kimkute.Huyo mzee si kuna cheo anagombea huko AU.
Kama ni hivyo nakupa pole kwa maumivu ya kujitakia.
JK and family are still there kula maisha.
Sasa hv yuko level za kimataifa. Sass we Masikini endekeza tu umasikini wako kutwa kucha kujadili maisha ya watu ambao hata mjikusanye ukoo wenu na kijiji chenu chote hamna uwezo wa kubadili Maisha ya JK family
Duh π !Kunakofukaga moshi kwa sasa watu wameshapata password.........subirini maturubai tu
Ataondoka kwa aibu Kama mugabehNi mwendo wa kusaka madaraka mpaka kifo kimkute.
Na huko Uganda jamaa ameweka mkewe na sasa anamtayarisha mwanaye amuachie Nchi !Familia ya mzee Mwinyi nayo imeingiza timu nzima kwenye shughuli za kisiasa.
Mama wa kiongozi flani na mstaafu afungwe break , hana sifa za kupanda bodaboda akiwa amevua mpaka viatu, analiabisha taifa , na mstaafu wa nchi hii, nimetokea kumchukia uyu mama,Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.
Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.
Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?
Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.
Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.
Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
Aaaah!! Kama tukifika uko. Bola nikafie ikuluRidhiwani atakuwa rais 2030 ili aendelee kuchuma. Moende au msipende.
Dua la kuku hilo.kama yeye anafikiria hivyo ulivyoandika basi ana matatizo kichwani labda ni psycho kwani anaichongea familia yake mwenyewe na hata ishi milele ataondoka familia itabakia na haitakuwa na uraisi, wataishije kama wanachukiwa hivyo ? muulizeni uhuru kenyata kilichompata na familia yake ktk kwa Ruto mpaka aliomba poo na kukimbilia kwenye media kulia na hapa naongelea familia ya Uhuru Kenyata inayojulikana Dunia nzima siyo ya huyo mr. no body, hivyo haya mambo ni kuwa mwangalifu power comes power goes kama kweli unaipenda familia yako utakuwa mnyenyekevu na kuilinda β¦
Dua la kuku hilo.
Utasubiri sana
Kikwete kalimiliki bunge? Kama ni hivyo basi wakulaumiwa sio yeye. Ni nyinyi watzMoja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.
Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.
Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?
Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.
Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.
Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
unatafuta bwana?Wewe ni mpumbavu na mjinga tu! Umeusoma huo uzi?
Umeona huo uzi upo kidini? Pumb..uzako