Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.

Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.

Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?

Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.

Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.

Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
Familia ya mzee Mwinyi nayo imeingiza timu nzima kwenye shughuli za kisiasa.
 
Jiwe alikuwa shetan,chuki zenu kwa kikwete sababu ni muislam wapuuzi nyie,

Wapuuzi wenzenu wamepiga kelele kuhusu DP WORLD serikali makini ya samia iliwapuuzilia mbali,
Mlivyo matahila mkasema eti Vatcan inaendesha dunia,lazima serikali itaufyata,

Mmbwa nyie
Dini za mashetani bwanaa kutukana Ni sifa yenu... Ushetani kwenu Ni sifa.
 
Kama ni hivyo nakupa pole kwa maumivu ya kujitakia.
JK and family are still there kula maisha.
Sasa hv yuko level za kimataifa. Sass we Masikini endekeza tu umasikini wako kutwa kucha kujadili maisha ya watu ambao hata mjikusanye ukoo wenu na kijiji chenu chote hamna uwezo wa kubadili Maisha ya JK family

kama yeye anafikiria hivyo ulivyoandika basi ana matatizo kichwani labda ni psycho kwani anaichongea familia yake mwenyewe na hata ishi milele ataondoka familia itabakia na haitakuwa na uraisi, wataishije kama wanachukiwa hivyo ? muulizeni uhuru kenyata kilichompata na familia yake ktk kwa Ruto mpaka aliomba poo na kukimbilia kwenye media kulia na hapa naongelea familia ya Uhuru Kenyata inayojulikana Dunia nzima siyo ya huyo mr. no body, hivyo haya mambo ni kuwa mwangalifu power comes power goes kama kweli unaipenda familia yako utakuwa mnyenyekevu na kuilinda …
 
Familia ya mzee Mwinyi nayo imeingiza timu nzima kwenye shughuli za kisiasa.
Na huko Uganda jamaa ameweka mkewe na sasa anamtayarisha mwanaye amuachie Nchi !
Kazi kweli kweli !
Koo za Kifalme zinarudi tena Barani !!
Lakini kama watakuwa wanatawala kwa Uadilifu na maendeleo ya kweli ya watu wao na Nchi yao ni sawa tu !

Ila kama nia ni kujilimbikizia tu mimali na kula Bata hiyo itakuwa sio poa !

Nasema hivi kwa sababu naona hii kitu inaitwa demokrasia imeshashindikana !!
Mifano ipo mingi na mingine ni ya hivi punde tu !!
 
Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.

Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.

Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?

Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.

Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.

Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
Mama wa kiongozi flani na mstaafu afungwe break , hana sifa za kupanda bodaboda akiwa amevua mpaka viatu, analiabisha taifa , na mstaafu wa nchi hii, nimetokea kumchukia uyu mama,

Naamini hafanyi hivi kwa kutojiua ,wenda ni mbinu flani ambazo mzee karidhika , sasa ni mda wangu muhona Mzee Kikwete aanijibu kwa nini anaruhusu ujinga wa namna hii
 
Tusimlaumu mzee wa Msoga! Tujilaumu sisi wananchi! Tumebaki na nani amfunge Paka kengele!
 
kama yeye anafikiria hivyo ulivyoandika basi ana matatizo kichwani labda ni psycho kwani anaichongea familia yake mwenyewe na hata ishi milele ataondoka familia itabakia na haitakuwa na uraisi, wataishije kama wanachukiwa hivyo ? muulizeni uhuru kenyata kilichompata na familia yake ktk kwa Ruto mpaka aliomba poo na kukimbilia kwenye media kulia na hapa naongelea familia ya Uhuru Kenyata inayojulikana Dunia nzima siyo ya huyo mr. no body, hivyo haya mambo ni kuwa mwangalifu power comes power goes kama kweli unaipenda familia yako utakuwa mnyenyekevu na kuilinda …
Dua la kuku hilo.
Utasubiri sana
 
Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.

Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.

Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?

Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.

Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.

Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
Kikwete kalimiliki bunge? Kama ni hivyo basi wakulaumiwa sio yeye. Ni nyinyi watz
 
Back
Top Bottom